Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

Kugawana mali au kuachia kabisa huwa sio issue kwa wapambanaji, msala ni ile hali ya ndani inavyouma wengine wanaishiaga misingo ya mawazo to kifo
Hapana Dani yupo at the end of his form 40+ years unafikiri anaeza tengeneza amount kama ilivokua mwanzo?? Huyo mama anaeza mkomba parefuu sana yaani

And mfano angeachwa bila dada kuomba talaka sidhan ka angesikitika hivi , ppo come ppo go, but money is there to stayy
 
Daah basi apewe hizo mali, hivi mtu once mlikua mnashea chumba na kitanda kimoja howcome unapata guts za kumfanya afungwe tena jela ila kuna watu wakatili sana mmh
Ishu ya mkewe ni talaka, kesi iliyomuweka ndani ni ubakaji mwanamke mwingine. Hoja ni kwanini mkewe amuache jamaa kipindi hiki? Lengo ni mali
 
Ishu ya mkewe ni talaka, kesi iliyomuweka ndani ni ubakaji mwanamke mwingine. Hoja ni kwanini mkewe amuache jamaa kipindi hiki? Lengo ni mali
Sure mkuu ji mali as a wife si walijubaliana kusimama kwa shida na raha

Angemtafutia lawyer mumewe amtoe huko, angetumia pia huu muda kuwaprove wrong watu ila kuleta mambo ya talaka kunamuongezea jamaa kutoaminiwa na watu, i. Feel sorry for him πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Back
Top Bottom