Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

Mimi hata sitaki kutia neno! 😅 Kidogo tu atakuattack huyo kama mliitiliana sumu kizazi kilichopota🙌🏾
Siwezikum attack laazizi wa moyo wangu.. Labda ataye jaribu kutia doa na kuingilia penzi letu shatashata
 
Mimi hata sitaki kutia neno! 😅 Kidogo tu atakuattack huyo kama mliitiliana sumu kizazi kilichopota🙌🏾

Huyo mzee kanitelekeza namuangalia tu! Mpaka tutimize lengo letu na mke mkubwa Espy_ we subiri😤
Mke mwenza twende taratiiiibu, tusiache ushahidi🤣🤣🤣
 
Yaan km wewe umekufa kwa Binti wa zamani basi mimi nitafufuka kwa Nusratt MOhamned, niishie hapa
 
Level za mama Yako huyo, ni mkubwa kuliko wote hapa jf. Mwenzio ana join jf wewe hata elimu ya upili hujaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…