Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Kwa hili bunge la Korea kaskazin hata warushe live watakuwa wanajisumbua tu , Leo nilikuwa naliangalia kwa mara ya mwisho nimemsikiliza KIM JUNG UN hakuna kipya
Sky naomba ni inbox Nina zawadi yako plse..nilikuahidi mwenyewe
 
Kwani serikali ni nani?
 
Huu upendo kwa upinzani umeanza lini?Kuna kipindi mlikuwa mnafurahia wabunge wa upinzani wakitimuliwa bungeni au kufukuzwa ubunge!Leo ninyi ndio mnakuwa na upendo hivi?Kulikoni?
 
Kwani serikali ni nani?

Hakuna Serikali bila ya Wananchi ,Kodi zinazo fanya Serikali kuwa na Nguvu ya kuuwa Watu na wasiulizwe zina toka kwa Wananchi wote.Ajabu ya Serikali za Afrika zinapo timiza wajibu wake zinaona kuwa zimetoa fadhila kwa Raia wake.
 
Hatuwataki chadema bungeni...kama ni platform wawatumie waandishi kufanya press conf..
 
Shida hapa sidhani kana kwamba iko kijinsia,,sababu kama ni kuwania hata ubunge jinsia zote mbil zilipata nafasi ya kusimama katika majimbo mbalimbal ila kwa hali ilivyo sasa imepelekea kuwa na mgogoro wa kimaamuz kulingana na hisia za mtu mmoja mmoja.

Na kuwa muwakilishi bungen sio kutetea chama bali n maendeleo ya wananch maana lengo kuu n maendeleo wala sio kuzozana bali n kukumbushana juu ya makakat mbalmbal iliyopangwa
 
Hoja hii ni nzuri sana, Halima aligombea Ubunge kawe Kwa ajili ya kutumikia wananchi wa kawe, kwenye Sandusky la Kura alishindwa, nafasi hiyo amepewa anataka nini tena? Apache ushamba wake nenda kawasemee watu wa kawe

Kawe wameshamchagua Askofu Rashid kuwawakilisha baada ya Halima “kushindwa” kazi. Keshakuwa gunzi; hawezi kupitisha moto toka ikulu kupitia kwa Rashid hadi jimboni. Atachelewesha maendeleo.
 
Mi nilidhani unatania kumbe umekomaa kabisa!.
 
Mkuu ya CHADEMA waachie wenyewe!
 
Da ningekuwemo. haya ma CCM haya kiboko Yao inakuja ICC.
 
Aende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja


Hata kikifutwa haitasaidia sababu wanasema Upinzani upo kwenye mioyo ya watu na siyo kwenye chama fulani.

Labda uwashauri waondoe sheria ya uwepo wa vyama vingi pengine itasaidia lakini kufuta chama au kukihujumu na namna moja au nyingine haitasaidia.

Nilikuja kuamini hayo baada ya chama cha CUF kuingiliwa na sintofahamu na kupelekea baadhi ya viongozi kuhama na ikawa haieleweki.

Wengi walijua upinzani umekwisha sasa hususa kwa Zanzibar n.k

Sasa angalia Campaign za Uchaguzi ulopita na Uchaguzi kwa ujumla waulize wanaoujua ukweli kama wataweza kusema!

Hizi ni nyakati nyingine dunia kuwa kijiji.

Watu wanajifunza na kuona mengi na kuanza kujitambua kwa namna mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…