Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Mkuu, kama mtu yeyote anaweza kupeleka majina kwanini usimsaidie Mdee kuyapeleka?
Hili ni jibu la kufunga mwaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kama mtu yeyote anaweza kupeleka majina kwanini usimsaidie Mdee kuyapeleka?
Sky naomba ni inbox Nina zawadi yako plse..nilikuahidi mwenyeweKwa hili bunge la Korea kaskazin hata warushe live watakuwa wanajisumbua tu , Leo nilikuwa naliangalia kwa mara ya mwisho nimemsikiliza KIM JUNG UN hakuna kipya
Kwani serikali ni nani?Kwani hiyo Serikali inatoa Pesa zake kutoka Mifukoni mwake !?.Au dhana ya Serikali hauitambui maanake unavyo andika hapa ni kama vile Serikali inafanya hisani na una sahau kuwa hili ni takwa la Sheria.
Futeni Sheria zote mnazoona zina wakwaza ikibidi badilini huu mfumo uwe ni Chama kimoja, una changia kama mlevi wa matap tap hapa.
Hata mkutano mkuu wa TLP. Polepole alikua mgeni rasmi akimuakilisha Magufuli.Hiyo ruzuku msiwape cdm, wapeni TLP, UDP nk maana wao walimuunga mkono mgombea wa ccm.
Ruzuku hampati safari hii lazima mgawane mbao [emoji16][emoji23]Hata mkutano mkuu wa TLP. Polepole alikua mgeni rasmi akimuakilisha Magufuli.
Utu ni bora kuliko pesa.Ruzuku hampati safari hii lazima mgawane mbao [emoji16][emoji23]
Huu upendo kwa upinzani umeanza lini?Kuna kipindi mlikuwa mnafurahia wabunge wa upinzani wakitimuliwa bungeni au kufukuzwa ubunge!Leo ninyi ndio mnakuwa na upendo hivi?Kulikoni?Ni kweli Dada Halima, jifunze kufanya positive decision ili kujiweka in positive side kila wakati. Uchaguzi wa maisha mabaya ya kisiasa ni mtu mwenyewe huchagua. Lakini all in all siasa za kujiumiza binafsi sioni kama zina tija kipindi hiki. Peleka majina
Hapa hapa. Wapambane, hakuna kubebana.Basi nyie wananchi mkasajili CHADEMA Msumbiji
Kwani serikali ni nani?
Hatuwataki chadema bungeni...kama ni platform wawatumie waandishi kufanya press conf..Sasa basi jambo la msingi ni kufuta chama na kila mtu akafanye biashara yake
Chadema kuwa nje ya platform ya kuongea kwa miaka mitano ujui 2025 itakuwa ni kazi kubwa sana kishawishi watu?
But pia nikuulize swali je ni lini uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na haki? Mbona hakuna chaguzi ambayo mligomea?
Tuache mfumo dume na ubinafsi wa kijinga
Hoja hii ni nzuri sana, Halima aligombea Ubunge kawe Kwa ajili ya kutumikia wananchi wa kawe, kwenye Sandusky la Kura alishindwa, nafasi hiyo amepewa anataka nini tena? Apache ushamba wake nenda kawasemee watu wa kawe
Mi nilidhani unatania kumbe umekomaa kabisa!.Sasa basi jambo la msingi ni kufuta chama na kila mtu akafanye biashara yake
Chadema kuwa nje ya platform ya kuongea kwa miaka mitano ujui 2025 itakuwa ni kazi kubwa sana kishawishi watu?
But pia nikuulize swali je ni lini uchaguzi wa Tanzania ulikuwa huru na haki? Mbona hakuna chaguzi ambayo mligomea?
Tuache mfumo dume na ubinafsi wa kijinga
Mkuu ya CHADEMA waachie wenyewe!Yeah kabisa
Hapo wanaweka ugumu kwa sababu wao hawapo kwenye hiyo fursa
Ni aibu sana kuwa na Chama chenye mfumo dume
Myika na yule mzee wa kufuga madevu please acheni hizo mambo za kuweka ugumu kwenye mambo hayo
Kama vipi basi mkifute kabisa chama ili tujue kweli mmesusa
Mkuu ya CHADEMA waachie wenyewe!Ni ujinga sana
Hayo malalamiko yao yapo since mfumo wa vyama vingi umeanza na walikuwa wanaenda bungeni
Sasa sijui imekuwaje leo wanajifanya wanahasira sana
Halafu Gwajima awasemee wakina nani?Si alitaka kwenda kuwasemea Wana kawe? Aende fursa ndo hiyo, huko kwingine ni kujazana upepo tu hakuna lolote!
Ya CHADEMA waachie wenyeweAende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja
Da ningekuwemo. haya ma CCM haya kiboko Yao inakuja ICC.Akili kama za Ndugai hizi. Unajua kuwa kama kura zingeheshimiwa pengine ushindi wa Chadema ungesababisha ipate viti maalumu sio chini ya 80?
Sasa kwa nini hao 19 wakubali wakati wenzao zaidi ya 60 wamedhulumiwa?
Kukubali jambo hilo sio ujinga ulio vuka mipaka?
Na je unadhani hao 19 wanalazimishwa waende kwa manufaa ya demokrasia na CHADEMA au kwa manufaa ya CCM kutambulika ina bunge la vyama vingi?
Aende akapambane hamtaki viti maalumu na ruzuku msipokee ikiwezekana chama kifutwe ijulikane kilisusa moja kwa moja