Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Barua ya wazi kwa dada Halima Mdee

Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu. Hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda Bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume. Mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.
Mdee si yuko Milembe? Wanasema kachanganikiwa kutokana na ukweli kuwa watu walikuwa hawamtaki, yeye alikifikiri vile anapiga kelele bungeni na kukamatwa na polisi ndivyo anavyopendwa na watu, wabongo bwana ni wajumbe wa kiasili kwa kweli.
 
Sio hisani ni sheria serikali iwape ruzuku na ni sheria chama kipeleke viti maalum bungeni

Hatuendi kushirikiana na wauaji na wezi wa kura. Mnaweza kuchukua hatua yoyote. Na wakienda wajue sisi wafuasi wao tutawaona wako mlengo mmoja na hao wauaji.
 
Hatuendi kushirikiana na wauaji na wezi wa kura. Mnaweza kuchukua hatua yoyote. Na wakienda wajue sisi wafuasi wao tutawaona wako mlengo mmoja na hao wauaji.
Sema mm na sio sisi
 
Mdee si yuko Milembe? Wanasema kachanganikiwa kutokana na ukweli kuwa watu walikuwa hawamtaki, yeye alikifikiri vile anapiga kelele bungeni na kukamatwa na polisi ndivyo anavyopendwa na watu, wabongo bwana ni wajumbe wa kiasili kwa kweli.
Umeingia wrong forum
Nenda kwenye jukwaa lako la celebrities

Hapa tunaongea watu wazima obove 30yrs
 
Haipo hakika kama ulimaliza kuandika kabla ya ku post.

Ila kila kitu ni nini? Uporaji haki na uhuru wa raia nao umo?

Wizi wa uchaguzi, uuwaji, utekaji na yote ya namna hiyo ni zezeta tu ndiyo anayeweza kukubaliana nayo.
Tangu mmeanza kuongea nn kimebadilika?

Acheni siasa za malalamiko tu
 
Dada halima najua uko poa kabisa

Madhumuni ya barua hii ya wazi ni kutaka kukufikishia ujumbe ufuatao

Kuna taarifa nimezipata chini ya kapeti zikisema kuwa asilimia kubwa ya Wabunge wanaume ambao wamekosa ubunge ndio wanapambana nyie wakina mama msiende viti maalum

Napenda kukwambia kuwa hao wabunge wanasema nyie msiende ni kwa sababu ya ubinafsi wao tu. Hii fursa ingekuwa ya wao wanaume wasingewasikiliza nyie kabisa ingekuwa wameshaenda long time

Wewe ndio kiongozi wa wanawake CHADEMA please acha kusikiliza hao wabinafsi, peleka majina ya akina mama wenzako ili mkatetee Chama

Miaka yote CHADEMA huwa hairidhiki na matokeo ila huwa wanaenda Bungeni hiyo ni kwa sababu wanaume wengi walikuwa wanachaguliwa

Najua una changamoto sana juu ya suala hili but be strong and peleka majina tume. Mwanaume ambae anakwambia msiende bungeni then mwambie avae sketi aende yeye.
Anayetakiwa kupeleka majina tume siyo kiongozi wa wanawake,Wala siyo Mwenyekiti wa chama bali ni Katibu Mkuu wa Chama.
Pole kiongozi,barua yako imeenda kwa mtu asiye sahihi. Mwandikie Mnyika umshawishi.
 
Serikali za mitaa walilizwa nafasi zote na bado mwaka huu wakaingia kwenye uchaguzi kwa kuwa zilikuwa ni nafasi yao, wakaamini watapita. Ubinafsi wa viongozi unaponza chama. Wanapoona ni nafasi zao wanaingia uchaguzini, sasa ngoja nao wasikilizie joto ya jiwe!
Uwa nahisi wale watu waliolizwa nafasi zao kwenye serikali za mtaa walichangia wenzao kukosa Ubunge....ile mentality ya tukose wote.
 
Anayetakiwa kupeleka majina tume siyo kiongozi wa wanawake,Wala siyo Mwenyekiti wa chama bali ni Katibu Mkuu wa Chama.
Pole kiongozi,barua yako imeenda kwa mtu asiye sahihi. Mwandikie Mnyika umshawishi.
Najua naongea nn,
Na nimepatia kumwandikia Dada halima coz yy ndio Kiongozi wa wanawake chadema
 
Tangu mmeanza kuongea nn kimebadilika?

Acheni siasa za malalamiko tu

Kama hukijui mwulize jiwe aliyeteua mawaziri kabla ya wakati hatakwambia:

"Kwenye natoka, kivumbi na jasho eeh.
Kwenye natoka, kuna waka moto."
 
Nenda bungeni acha ujinga halima pia msisahau zile asilimia mtakazokuwa mnatoa ili kukibeba chama kisije anguka kabisa unamsusia simba wewe si atakula ngombe wote zizini mkose vyote pia kumbuka kwa nyie kuingia 19 kutapandisha ruzuku walau kidogo sasa mtakachopata wasitafune wajenge maofisi ya chama
 
Mkuu Dada Sky Eclat , kwavile wana jf tuko wengi na hakuna awezaye kusoma makala za wana jf wote, mimi ni miongoni mwa tulio andika sana kuhusu uchaguzi mkuu wa 2020, tena wengi wameanza kuandika kuhusu uchaguzi huu, wakati wa mchakato wa uchaguzi, mimi nilianza kuandika kuhusu uchaguzi huu mwaka 2015 baada tuu ya uchaguzi Mkuu wa 2015, wakati wengine wote wakisubiri matokeo kwa hamu kubwa wakiamini EL atashinda, tarehe 28 October 2015 nilipandisha bandiko hili humu jf na nilisema kila kitu kuhusu uchaguzi wa 2020!

Baada ya JPM kuingia madarakani na kasi yake, November 2015 nikapanda tena

Kwa miaka yote mitano nimekuwa nikiendesha darasa la bure kuhusu 2020

Hata ugombea wa Tundu Lissu, mimi nimeshiriki kumchagiza, kabla za zile pyu pyu za Dodoma

Tena licha ya mimi kuwa ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini nimepigania sana fair game hadi kutoa ushauri mahsus kwa watu mahsus

Na baada ya chama changu CCM kushinda ushindi wa kishindo cha asilimia 99% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa , nilipandisha bandiko hili la kizalendo sana

Watu wengi walikuwa na mategemeo makubwa na Chadema, niliwasaidia sana kuitathimini Chadema kama ina uwezo, the ability na capabilities

Mabandiko hayo matatu yalithibitisha Chadema hakuna kitu for 2020!. Ile nguvu na hamasa ya upinzani uchaguzi wa 2020, ni kutumia tuu upepo wa Tundu Lissu.

Kwa kifupi nilisema

Hivyo Dada yangu Sky Eclat, and by the way mimi as a human being, nimetokea kukupenda fulani hivi japo sijakuambia...

Jumapili njema

P.
Kaka Pascal, huoni kuwa Chadema kutokupeleka wabunge wao bungeni ni njia yao ya kupaza sauti mambo kadhaa yasiyoridhisha yafanyiwe marekebisho.
 
Hata viti maalum ni sheria
Au nyie kwenu sheria ni Ile tu ambayo inawapa nyie pesa basi?

Hata Sheria zina waruhusu Wabunge kutoa Maoni yao ili kuboresha jambo kwa maana ya kupinga na kutoa Suluhisho ,Sheria hiyo hiyo hutumika vibaya na kuwafurusha Wabunge nje ya Bunge kwa Hali yoyote ile kwa Sababu ya kuwa na Maoni tofauti.
 
Bora wangegoma kabisa kushiriki uchaguzi.
Wapinzani wajipange upya,

Bora wangegoma kabisa kushiriki uchaguzi.
Wapinzani wajipange upya,
Hawa tuliwajua tangu mwanzo kwamba, walitaka ubunge. Nafasi ya urais walijua hawawezi kuipata, wakampa Lissu waliyejua hatapita ubunge. Sasa baada ya wao pia kupata za usoni, wameanza bhla-bhla!
Tangu mwanzo waliona majina ya wagombea udiwani na ubunge yakikatwa, ya kwao yooote yakapita. Hapo wakawa na tumaini na kuwatelekeza waliokatwa.

Ubinfsi wao haukulipa sasa wanalia kwa kuwakumbuka waliokatwa wote!
 
CCM wanaushauri mzuri tena wanaupendo mkubwa kwa Halima mdee hahahahah!
 
Nenda bungeni acha ujinga halima pia msisahau zile asilimia mtakazokuwa mnatoa ili kukibeba chama kisije anguka kabisa unamsusia simba wewe si atakula ngombe wote zizini mkose vyote pia kumbuka kwa nyie kuingia 19 kutapandisha ruzuku walau kidogo sasa mtakachopata wasitafune wajenge maofisi ya chama

Hiyo ruzuku msiwape cdm, wapeni TLP, UDP nk maana wao walimuunga mkono mgombea wa ccm.
 
Back
Top Bottom