Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

nivoanzisha nilijitahidi ziwe nyuzi zenye heshima,

nina uhakika Seran asinge mind
 
Pole sana mjukuu, watu wa hivyo tumekuwa nao humu miaka nenda rudi, jambo la kuzingatia ni kujifunza kupuuzia

Umenitisha hapo mwisho uliposema nawe umepandwa na kisukari, yaani wakati wajukuu wenzio nawarithisha mashamba ya tumbaku, wewe unarithi kisukari cha babu yako 🤪
 
Thanks sis ❤️
 
Kimeshashuka mzee usijali!
 
Demokrasia ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…