Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Watu Wana stress Sana...Watu hamjuani hata majina halisi lakini anachukia uwepo wako na maandishi yako, Mimi siwezi kuweka maradhi ya namna hii...watu wanashindwa kumiliki hisia zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…