Barua ya wazi kwa members wenye chuki zisizo na msingi kuhusuya Id yangu!

Dah watu mna tunza kumbukumbu🤣
 
Hebu ngoja kwanza twende taratibu....ni umeanzishiwa manyuzi kuwa we ni shoga?, mwanaume, jobless?

Hao ni wanawake au wanaume?

Na je hata kama ni kweli inawahusu nini?😏😏

Ningekuwa wewe ningeyapotezea, hivi unafanya kuyapa kichwa!
Nisikilize aizat pliz hivi wewe una tatizo gani? Haiwezekani unanichunia bila sababu za msingi, sio poa hivo maisha hayaendi hivo dear, mi na kukubali sana
 
Pole sana, jf ina vioja na viroja. Wapuuze kama hawakuumizi.

Bila shaka wamegusa sehemu nyeti mpaka unawaanzishia uzi.
 
Na huu ndo ukweli.Humu watu wanatania Sana.Huna sababu ya kufokea maandishi maana huwajui walioandika.Humu ni kusoma,kucheka na kujifunza basi.Nakuhakikishia hata baada ya hii barua yako wataendelea kukuchokoza trust me.Waja hawaishiwi vioja nimekaa paleee.
 
Kwahiyo kumbe mnanisubiri nichoke? hakuna kazi zingine za kufanya? utani upi unaouongelea kwanza? mimi watu ninaotaniana nao nawajua wanatania!
Hao unaohisi hawatanii nao pia wanatania.Maisha ya humu hutakiwi kuwa nayo serious kwasababu wengi humu hatujuani zaidi ya miandiko yetu so huna sababu ya kuparangana na watu usojuana nao.
 
Nimesoma Uzi wote,next time usisumbeke Hadi kuwaandikia Uzi.

Aisee humu usiichukulie siriazi,jf ni kama kijiwe Cha kahawa,

Hao wa kuanzishia mtu Uzi walikuwepo kitambo sana,Kuna huyu alikuwa anaitwa @Demiss,hakuna mtu alikuwa anaandamwa kama huyu humu jf, enzi hizo 2014,nipo zangu skuli naiba simu naingia free basic,

Wengina Hawa,Kuna huyu Mama Sabrina😁, Kuna huyu @waangalimaasai sijui huyu kilimramba kitu, Kuna wadada nilikuwa nawapenda I'd zao,Jolie Jolie,Paula Paul,

Jf nishaisoma zamani sana,full upepo.
 
Seran unaweza kudhani unashambuliwa na watu 100 kumbe ni mmoja tu mwenye rundo la ID.

Your aura is likeable and cool yawezekana tu mtu hajapenda kuhusu hilo akaona akubully. Nothing is real your fault.

Tupo hapa 12 years and counting hatujawahi badili ID,why? We are never cool ….! Japo hata mtu akiamua kubadili ID ni sawa pia , JF sio kitu serious hivyo. Be you mwaego…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…