Kwa hiyo Mh. Zitto, unataka kusema hata ile video ilianzia CHADEMA ndo ikaenda mtandaoni kama ilivyotokea kwenye barua yako? Kwa kifupi, namaanisha kuwa hiyo video ya Lwaka ni REAL plot ya CDM?
ndugu yangu. Dhana ya kusema kuwa ccm imeingiza kirusi chadema hutumiwa na akina slaa na mbowe ili kuficha maovu yao na kuwakandamiza wanaoenda kinyume na misimamo yao
I smell rat!!Huyu kijana ben wa saa nane ni wakuangalia mara mbili. Huenda ule u-PM7 unaendelezwa kwa utaalamu wa hali ya juu.
mara zote nimeamini kuwa bila chadema imara, ccm itakuwa kama simba aliyekabidhiwa bustani yenye swala! Itafuja kila kilicho mbele. Chadema ikiwa imara, tanzania itakuwa imara.
namalizia kwa msemo wa kiswahili kuwa NUNGUNUNGU HAKUMBATIWI
Kama hiyo barua ya Zitto iliwekwa hapa JF,basi ndo kirusi huyo.Je uchunguzi wako wa ku identify id za kirusi hiko haujakutajia id zingine za kirusi hiko hap JF au email zake?
mkuu zitto , Asante kwa maelezo Mazuri . Vp kuhusu ludovick ? Mmemtosa au naye bado mpo naye katika kipindi hiki kigumu kinachomkabili ?
Zitto,
Kwa kweli hapo ndipo unapoonyesha umakini ktk siasa. MWAKA JANA niliwahi kukushauri ndugu yangu kuwa WW huna sababu ya kupambana na mtu yeyote ndani ya chama chako muda UTAFIKA na hapo mambo yote yatakuwa mteremko kwako na kwa nchi yetu.
Nukuu bible "JINYENYEKEZE CHINI YA MKONO WA BWANA ULIOHODARI NA YEYE AYEKUNYANYUA KWA WAKATI WAKE" hila hizi za sasa ni hatari sana tena sana ila tutashinda.
Mohamedi Mtoi na wapiga debe wa chama wengine, sasa baada ya Zitto kukubali kuwa ile barua ni yake mnajisikiaje? Kiherehere muache siku nyingine msubiri mhusika akanushe sio ninyi wapambe.
Usijaribu kutoa tafsiri yako na kuifanya ni ya zitto!
ndugu yangu. Dhana ya kusema kuwa ccm imeingiza kirusi chadema hutumiwa na akina slaa na mbowe ili kuficha maovu yao na kuwakandamiza wanaoenda kinyume na misimamo yao