mbona hueleweki? Chadema ipi unayoizungumzia
Watu bana utajuaje kama ndo mpango wa chama kuwasilisha kitu kwa njia ya barua afu ndo kinajadiliwa.....ila sishangai mitanzania ndo tulivyogo na aliyetueoga ashakufa aisee hatuezi kuona mazuri na kusifia na kumpa moyo mtenda mazuri hayo azidi kutenda na kua juu zaidi.... lazima vikasoro muanze.....
Hapo Zitto kalikoroga kwa nia njema?
BTW barua ya Zitto iliyolikishwa,ni ya hivi majuzi tu wakati wa kikao cha kamati kuu,huyo Ludo wanayemuhusisha na video sidhani kama ndo kirusi kinachozungumziwa hapa.
Siwezi kusema ni haramu kwasababu sijui kama ni kweli hilo la video ya Lwakatare lilikuwa ni siri ya chama cha chadema.
Ni kweli there is so many ways hiyo barua inaweza kuleak,however unaweza ku "zero down",kwa kuangalia kwanza nia ya aliyebandika.Hii ni issue ambayo unatakiwa uitrace backwards.Ama anayetunza mafaili ya Dr Slaa...ama mtu anayeweza ku access hilo file.., ama ni mtu anayeweza kuaccess mafile kwenye computer ya ZITO iliyotumika kuandika hizo nyaraka, au marafiki wake zito alioshauriana nao kabla hajaandika, au wale aliokwenda kujisifia kwao baada ya kuandika hiyo barua.
Suala la Video ya Rwakatare kuvuja, sijaliona kwenye maelezo ya Zito. Haina hata maana kwa CDM ama chama chochote ama mtu binafsi kutengeneza video ya namna hiyo, iwe kwa matumizi halali ya chama ama kwa visasi. It is absolutely nonsense. Labda kwa matumizi ya uchawi maana huko ndiko kuna mammbo ya tofauti na dunia.
Mkuu mimi nina maswali kadhaa. Umeandika kwamba uliandika barua kwa katibu mkuu wa chama kukisihi chama kifanye uchunguzi wa ndani kuhusu swala la Lwakatare. Je:
1. Ombi la kufanya uchunguzi ulikubaliwa?
2. Kama Ombi la uchunguzi lilikubaliwa je uchunguzi wa ndani umethibitisha nini?
3. Inaelekea unaamini kabisa kuwa kuna ki/virusi (spies) ndani ya chama. Je mmefanya uchunguzi wa kuwagundua ni wakina nani?
No problem mkuu,BTW stands for "By The Way"Mkuu Mushi, hebu kidogo nitoe ushamba na hizo herufi hapo juu kwani hadi hivi sasa naona tu chenga kwenye skrini yangu licha ya kuona kwingi tu herufi kama hizo mahala kwingi tu hapa ubaoni.
Ndugu Zitto anaelekea kumaanisha kwamba kuna mtu ambaye Dr Slaa amempatia nakala ya barua yake,mtu huyo akaifanyia mabadiliko kidogo tu,kisha akaibandika hapa.
Huyo mtu AKA kirusi,ndo anayelalamikiwa na dugu Zitto,so ndo huyo form four leaver2012...
Zitto anasema alindika hiyo barua directly kwa Dr Slaa(barua isiyo public),so labda aliyemtuma ndo kalikisha,ama aliyepewa(Dr Slaa),ndiyo kafanya hivyo...
BTW = By the way.Mkuu Mushi, hebu kidogo nitoe ushamba na hizo herufi hapo juu kwani hadi hivi sasa naona tu chenga kwenye skrini yangu licha ya kuona kwingi tu herufi kama hizo mahala kwingi tu hapa ubaoni.
ccm wanatumia nguvu nyng sn kukabiliana na cdm,lait wangezielekeza hzo nguvu kutatua matatizo yanao wakabili wananch km taifa tungekuwa mbali.!.
Hoja yako ina maana una uhakika chama kinatetea uhalifu bila ushahidi "Narrow mind narrow argument".
Vyombo vyako vya dola havina ushahidi ndiyo maana wanakosa mahali pa kusimama.
Jukumu la polisi ni kusimamia usalama wa raia na mali zake. Polisi wanaosubiri kukamata wahalifu wawfikishe mahakama ni wa CCM peke yao.
Tuhuma za kuhonga bila ushahidi ni mbinu mufilisi za wenye ukomo mfupi sana wa kufikiri.
Dhana ya ulinzi shirikishi itazaa matunda matunda ya ufisadi tu kwa sababu dhana ni shuka ya kujifunika kwa jeshi la polisi kushindwa kwenye majukumu yake hata Waziri Nchimbi analijua hilo.
Kulingana na ujio wako humu jamvini nakushauri uombe review ya assignment yako
Join Date : 28th March 2013
Posts : 63
Rep Power : 314
Likes Received5
Likes Given0
naunga mkono hoja 100%mara zote nimeamini kuwa bila chadema imara, ccm itakuwa kama simba aliyekabidhiwa bustani yenye swala! Itafuja kila kilicho mbele. Chadema ikiwa imara, tanzania itakuwa imara.