Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.
Ubarikiwe sana ZZK.Tunakutegemea kila mara kukusikia ukikitetea chama bila kauli zenye utata.
 
mbona hueleweki? Chadema ipi unayoizungumzia

Mkuu usihangaike sana na hawa kuna watu wanalipwa pesa nyingi sana ambazo ni kodi zetu kuleta upuuzi hapa fanya survey ndogo tuu angalia waliojiunga na JF baada ya swala la kamanda Lwakatare kuanza halafu angalia na post zao wapo kazini mkuu na wanalipwa! so wewe usiwajali jenga chama mahali ulipo!
 

Unajua msemo unaosema "Mapenzi ni kipofu?" unajua pia msemo unaosema "jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza?"je unajua pia unaosema "kitanda usicholalia huwezi jua kunguni wake?" Nakusamehe kwa sababu bado nit mtoto, ukikua utayajua.
 

Mkuu Mushi, hebu kidogo nitoe ushamba na hizo herufi hapo juu kwani hadi hivi sasa naona tu chenga kwenye skrini yangu licha ya kuona kwingi tu herufi kama hizo mahala kwingi tu hapa ubaoni.
 
Ni kweli kaka Mtoi nimekubaliana na nukuu zako.
 
Ni kweli there is so many ways hiyo barua inaweza kuleak,however unaweza ku "zero down",kwa kuangalia kwanza nia ya aliyebandika.Hii ni issue ambayo unatakiwa uitrace backwards.

Unaweza ukatumia proccess of elimination...

Kuhusu suala la video kuvuja hata mimi sijaliona kwenye maelezo ya Zitto,unless mimi ama wewe,kuna mmoja wetu ameconfuse na "Hugo Chavez"

However matumizi ya video zaidi ya uchawi yapo.
 
Kwanza kabisa nakupongeza sana,ndugu kabwe zito zuberi,kwa kua sasa umehelewa mipango mizima ya hawa wabaka demokrasia ya tanzania ccm,watu wa fitna watu wenye hila na kila chama hambacho wanaona ni hatari kwao,naomba sana ngugu zito mjue watanzania walio maskini wa kutupa tegemeo lao ni chadema,wamekosa tumaini kwa ccm,naomba chama kiwe makini sana wakati huu,mjue ipo mipango mingi itafanywa na ccm juu yenu,hata kuwagombanisha wenyewe kwa wenyewe,kamwe msikubali kuchezeshwa ngoma na ninyi mkacheza yakawakuta yalio wakuta jirani zenu,[cuf] [nccr] kamwe msikubali,2 nikweli kabisa yupo mtu katikati yenu ambaye anawasiliana na ccm na kuwasaliti nakutoa yote mnayo yapanga kwa maendeleo ya chama,chenu,ushauri wangu mtu huyo atafutwe kwa garama yoyote,kwa mustakabali wa chama na afukuzwe mara moja,3 ni kujipanga na idara ya itikadi na uenezi ya chama inatakiwa ifanye kazi sana sasa hivi kuwa elimisha,watanzania juu ya mipango hatari ya ccm juu ya chama chenu,4 kutumia m4c kuitekeleza mipango madhubuti ya kueneza chama vijijini kata na vitongoji,5 angalizo kama mlikua hamjui mimi nawapa siri hii mipango ni mkakati wa kuwafanya viongozi na chama kwa ujumla muweke mawazo yenu kwenye mambo ya kesi na mambo yanayo tungwa na kuibuliwa,ili msitekeleze mikakati yenu ya m4c,,,,,hapa muwe waangalifu kwani hofu yao ni chama kufika vijijini na ngazi ya kata ni hatari kubwa kwao kuendelea kutawala,hapa muwe waangalifu msichezeshwe mkacheza mkasaau,m4c na wao wakashangilia 2014 serikali za mitaa na 2015 uchaguzi mkuu,narudia tena muwe makini juu ya mambo haya,mwisho napenda kuwa bariki na mungu wa mbingu na nchi awatetee na kuwa thibitisha,mzidi kungaa siku hadi siku mungu yu nanyi msiogope,
 


Kama barua ilifikishwa kwa padri Slaa, kisha ikafika humu JF mara tuu baada ya kikao kwisha, basi nawezekana kirusi chenyewe ni padri Slaa. Ukizingatia mpaka wiki chache tuu zilizopita Slaa alikuwa na kadi ya CCM ambayo ilikuwa ikilipiwa ada za uanachama.


----------------------------------------------------------------------------------
"Lichee ya wewe kwa ajili ya bozo"
 
Zitto nakukubali sana kaka kwa jinsi unavyoendesha siasa zako na chadema kwa ujumla.

lakini mkuu nakusihi kuwa mwangalifu sana na maCCM. haya majamaa yatakutumia sana

kuisambatisha chadema kwa kuwa kwa sasa ni wewe tu unayeweza kutumika kuisambaratisha

chadema. Jitahidi sana kuwa Straight katika matamshi yako na mwepesi wa kujibu yanayokukabili.

Nakubaliana kabisa na wewe kuwa kwa sasa tunahitaji kuwa wamoja kuliko wakati wowote na

hakika mtihani huu utakijenga chama zaidi tofauti na mategemeo ya wategaji wetu lakini hili

litawezekana tu kama tutajiona na kujikuta tuko kichadema zaidi kuliko mtu mmoja mmoja.

Chadema ni chuma cha pua lazima kipitie mateso makali na hali ngumu ili kujiandaa kazi ngumu

na maalumu kuinua taifa linaloendelea kupolomoka.
 

Haya ni mazingira yanayojengwa ili watu wamtilie shaka Dr. Slaa! Mimi najiuliza Zitto alikuwa nje ya nchi hadi akiandikie chama barua, au alinyimwa fursa ya kushauriana na chama hadi atoe maelekezo kwa barua, kwani maamuzi ya kumsimamisha mtumishi ndani ya chama yanafanywa na Slaa peke yake au ni secretariet yote ambayo na yeye Zitto ni mmoja wapo! Nasikitishwa na baadhi ya jugdement za Zitto Kabwe! Nakiri mimi ni mmoja wapo wa watu wanaoamini uwezo wa Zitto kwenye siasa, na kwa kiwango kikubwa ali ni inspire kujikita kwenye siasa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mushi, hebu kidogo nitoe ushamba na hizo herufi hapo juu kwani hadi hivi sasa naona tu chenga kwenye skrini yangu licha ya kuona kwingi tu herufi kama hizo mahala kwingi tu hapa ubaoni.
BTW = By the way.
Je hujakutana na hii FYI.
 
ccm wanatumia nguvu nyng sn kukabiliana na cdm,lait wangezielekeza hzo nguvu kutatua matatizo yanao wakabili wananch km taifa tungekuwa mbali.!.

Suala la kulinda usalama wa nchi hii ni kipaumbele, kasome ilani ya uchaguzi utagundua chama kuwashughulikia wanaopanga mauaji, utekaji, utesaji na ugaidi ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.
 
Zitto sasa huu ndio uongozi, naona unaanza kukomaa sasa....!
Kitu kingune nimependa sana ni tabia ya Katibu mkuu na naibu katibu mkuu CDM kuja kila wakati humu jamvini kuweka mambo sawa kunapotokea upotoshaji.....hii imesimama vema!
CCM igeni tabia na weledi huu wa CDM...itwasaidia sana, ila msipige propaganda!
 
Mh. Zitto usijibu maswali haya ya kichawi mwuliza swali ni kirusi chenyewe.
 
Napata mashaka juu ya uhusiano wa Zitto na Dr Slaa. inakuwaje katibu na naibu wake waandikiane barua kwenye swala ambalo maamuzi yake yanategemea busara na ufahamu wao? sijajua sababu ya Zitto kuandika ile barua wakati yeye na Dr Slaaa ndo injini za chama.
anyway Lekadutigite
 

pole sana ndugu kwa propaganda zako za kupingana na ukweli. bahati mbaya zaidi hatujuani ila kupitia tu kwenye hizi post. ungekuwa muungwana kama ungekanusha kwa hoja
 
mara zote nimeamini kuwa bila chadema imara, ccm itakuwa kama simba aliyekabidhiwa bustani yenye swala! Itafuja kila kilicho mbele. Chadema ikiwa imara, tanzania itakuwa imara.
naunga mkono hoja 100%
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…