Barua ya Zitto kuhusu Lwakatare: Maelezo yangu

Status
Not open for further replies.

Hivi akijuzuru lile deni letu la 140 millioni atarudishaje?
 
Haya mwingine ameibuka kumsifia Lissu, hii ndio sababu kubwa ya wabunge kupigania posho.kuwanunua vijana sio gharama ndogo
 

sema mikakati yake aliyotumwa na Slaa sio kuwataja vibaya wapiganaji wetu wa haki za wananchi wa Tanzania.
 
kwamba ccm yoote plus usalama wa taifa ni kidole kimoja tu cha Lisu!
 
sijasoma thread yako ila najua hakuna kirusi chochote cdm hizi ni sarakasi za Zitto
 
Last edited by a moderator:
Great Move Zitto! Thanks a lot for this important clarification. Kwa hakika kazi kubwa sasa iwe ni kumtafuta huyo kirusi aliye ndani ya CHADEMA. Najua ni wengi sana watakaohadaika kutokana na pesa za CCM ili kushiriki katika njama za kukimaliza chama. Walianza akina Shonza, Mtela, Ludovick na watafuata wengi sana.

Ni wakati mzuri sasa kuchukua tahadhari dhidi ya kila mmoja mnayekuwa naye ndani ya vikao vyenu vya chama. Ila uchunguzi ufanyike juu ya huyu anayetoa mambo ya chama kwenye mitandao tena kwa lugha ya kebehi dhidi ya chama.

Wengi hivi sasa wanajaribu kutumia jina lako katika harakati za kukivuruga chama kwa kuwa wanajua wewe una influence kubwa kwa chama. Lakini naamini kwamba msimamo wako kama huu unaouonyesha sasa, utakiokoa chama. Be strong Zitto!
 
Last edited by a moderator:
Isitoshe kamati kuu imetenga zaidi ya milioni 100 kwa suala hili.
 
Hiyo ni sababu nyingine ya kumtaka ajiuzuru...

Duh tena arudisha mali za wananchi alizojikopesha ndo ajiuzulu na afungwe kwa kuendesha madaraka yake vibaya ikiwa ni pamoja na kujikopesha hizo m140.
 
Zinavyovuja za CCM na hata za EPA hakuna wakujiuzulu maajabu ya Lumumba

Kwani lengo ni kuendeleza makosa yanayofanywa na CCM?

Dr. Slaa anapaswa kuwajibika kwa kujiuzuru. Kushindwa kutunza siri za ofisi ni kosa kubwa sana.

Sasa hivi haijulikani ni siri gani nyingine atavujisha...
 
Haya mwingine ameibuka kumsifia Lissu, hii ndio sababu kubwa ya wabunge kupigania posho.kuwanunua vijana sio gharama ndogo
MACCM wote mlioko huku mpompo tu, am sure hapo ulipo una kadi ya Chama kingine mfukoni, SIO CCM, majebere Jina lako linafanana sana Na Jina la kizee kimoja maskini ya mungu sasa ni marehem used kuzoa taka barabara ya haile Mssn, was a funny tod that's why I like reading your comment , tofauti Na Chama, Ritz, utaifakwanza wanaoonyesha direct wao ni CCM dung wewe huonekani kusuport anything Ndani ya CCM, you always oppose CDM but not supporting Magamba, mwenzetu wewe ni PONA.
 
Last edited by a moderator:
Kwani lengo ni kuendeleza makosa yanayofanywa na CCM?

Dr. Slaa anapaswa kuwajibika kwa kujiuzuru. Kushindwa kutunza siri za ofisi ni kosa kubwa sana.

Sasa hivi haijulikani ni siri gani nyingine atavujisha...
Mwambie mwenyekiti wako nae ajiuzulu kwa kushindwa kuzuia siri ya mwanae kunusurika kunyongwa china
 
Sijui mijitu iliyoko TISS, POLISI na CCM inafikiria nini! Utauzaje heshima yako kwa kutelekeza mema na kuyashika mabaya ili mladi tu unajaza tumbo? Ona sasa hadi mleta mada kasema bila kupepesa maneno kwamba akili zao zote hazifikii hata chembe ya Akili ya intellectual Tundu Lissu, na bado wataitana tena kufanya njama ambazo zinavumbuliwa baadaye. Aiseee huko TISS na polisi jieshimuni bwana au mnataka hadi watanzania wafikie kiwango cha kuwaona wote ni mavi ya ng'ombe.

Ebu jiepusheni na hizo dharau za kujitakia, kaeni katika msatari uliyonyoka.
 

Lukolo unaniangusha ndugu yangu!!!

Kwanini unaishia hapo? Bila kumwajibisha msamamizi mkuu wa ofisi iliyovujisha siri ya barua ya Zitto itakuwa ni kufuga virusi kwenye chama. Tafadhali liangalie hili...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…