Hiki kirusi hiki ndilo tatizo kubwa ambalo Chadema wanapaswa kukabiliana nalo ASAP
Binafsi naamini kabisa kua the video is authentic and I am surprised that CDM efforts are focusing on blaming the recorder and not the recorded. Ni sawa na mtu akamatwe na CCTV then defense yake iblame the CCTV for recording the crime (maana kupanga walichokua wanapanga is a crime already).
But what I wanted to say in that post ni kua viongozi wa CDM hawawezi kusema sasa hivi kua video ni authentic or not as that is part of what the court has to pronounce. Issuing a final statement on the authenticity of the video now would be a contempt of the court ("Kesi iko mahakamani, hairuhusiwi kujadiliwa" type of argument).
Mara zote nimeamini kuwa BILA CHADEMA imara, CCM itakuwa kama simba aliyekabidhiwa bustani yenye swala! Itafuja kila kilicho mbele. Chadema ikiwa imara, Tanzania itakuwa imara.
Kama ile barua ni ya kweli Zitto amekiri Mods waifungue ule uzi watu tujadali.
Hki kirusi hiki
hukijui kabisa au unayo majina una suspect but u cant share?
Mimi sio mod, ngoja tumuombe Invisible aje kujibu. 🙂
CDM hebu jaribuni kuchunguza, Ben na Josephine walikuwa wapi wakati hiyo barua imepelekwa kwa Slaa.
nimeanza kuamini maneno ya mwapamba na shonza kuhusu maadui wa zitto wakati yeye akijiona salama huku maadui wake wakimwonesha live kuwa wapo,zzk usiwe sikio la kufa
Hapana! ninachosema ni hawa viongozi kutozungumza hata kwenye simu,bar,kahawa nk kushare mambo fulani mapya tena kwa kucheka,kutaniana,kujadili namna na mipango kama hiyo.mfano wewe uko kwenye familia ukiona jambo fulani linalogusa familia unaweza kumjulisha mwenza juu ya jambo na kusudio lako la kuchukua hatua ya awali licha ya kuwa kila mmoa ana uwezo na maoni yake!.
hawa viongozi wako hivyo? au wanakutana kwenye vikao na kuandikiana barua? basi kama ndivyo kuna tatizo kubwa!
Uongozi ni wajibu na ukisha kuwa kiongozi suala la 'haya ni maoni yangu' kwa kiasi kikubwa upungua sana na hakina unanyoweza kujitetea.
zito ni naibu katibu mkuu,coments zake kama hizi haziwezi kukijenga chama chao,bali kuwavuruka tu.
kila mtu anasema lolote,issue eti ni maoni yake?
we uta---- gretest thinker mkuu pokea like yangu.hapa maadui wa zzk hasa ben anahusika 100
kwa 100.
Acha kujifanya juha bana, sasa hapa Zitto amekuja kuimba bongo flava.Onyesha sehemu Zitto anapo kiri kuwa ile barua niya kweli!? Nukuu uweke kwenye jibu.
Umestaafu au umepigwa chini...?