Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Mheshimiwa Bashe amejibu kauli ya nani iliyotolewa huko Malawi?
 
Naona kuna mihemko mingi zaidi ... hekima inatakiwa. Huyo mheshimiwa anakuwaga na mikwara isiyo na tija.
 
Usilete ujinga usiokuwa na viwango.
Vaa kandambili kama mswahili na uende Umoja wa Mataifa, ofisi yoyote ya kibalozi au hata Ikulu yetu.
Hata ofisi za mlinzi huingii.
 
Duh!

Mkuu 'jidu', mbona umekazia kwenye jambo lisilokuwa na maana zaidi kuliko lilo na maana kubwai?
Mimi bado sijui sababu ya vita hii inayo tangazwa hasa sababu yake ni nini?
Nchi hizi wamezuia nini kutoka kwetu na kwa sababu zipi? Bashe kaelezea hilo, au siyo muhimu kujuwa! Sisi tunatakiwa tu kushangilia matamko ya serikali yetu bila maelezo ya kina kuhusu tatizo husika?
 
Nimekuambia vaa kandambili za chhoni, na uende Ikulu yetu.
Kama utapokelewa leo miaka 63 baada ya uhururu, nitag.
 
Argumentya Bashe ina mashiko.
Lakini bodyblanguage si representative ya watanzania wote.
Problem.ni uswahili na ndio maana Munangagwa aliwahi kusema, The Islamic Republic of Tanzania.
Whichis not a truepicture.
 
Argumentya Bashe ina mashiko.
Lakini bodyblanguage si representative ya watanzania wote.
Problem.ni uswahili na ndio maana Munangagwa aliwahi kusema, The Islamic Republic of Tanzania.
Whichis not a truepicture.
Mkuu 'Jidu' binafsi sijui kama 'argument' yake ina mashiko au laa. Hilo la mavazi ni 'subsidiary kwa sasa.
Napenda kujuwa ni kitu gani kimesababisha mtafaruku huu.
Kama nchi hizo zimekataza uingizaji wa bidhaa zet, madai yao ni yapi?
Ni muhimu kuelewa hili kabla ya kushangilia haya aliyo yasema Bashe hapa.
 

Wanasiasa kabla ya kutoa matamko kama haya sijui kwanini hawaombi ushauri kutoka kwa wanasheria mawakili wasomi juu ya treaties bilateral na multilateral n.k kuhusu ulinzi wa nchi zisizo na mlango wa bahari yaani landlocked countries....


1. Land-locked States shall have the right of access to and from the sea for the purpose of exercising the rights provided for in this Convention including those relating to the freedom of the high seas and the common heritage of mankind...

Read more :

Source : Welcome to the United Nations

part x. right of access of land-locked states to and from the sea and​


 
Usikereke kwa vazi la Kiislamu, hivi ndivyo Masiha alivyokuwa anavaa na Wanawake kina Bikira Maria walivaa hijab na nikab!.

Wazungu ndio walibadili hizi nguo zinazovaliwa sasa, ili zisionekane ni za Kiislamu. Yesu amekulia Misri!.
P
Safi. nafkiri ipo haja sasa JF waanze kukulipa posho kwa uchangiaji uliotukuka na usio na kikomo.

NB; Kuna watu watakasirika
 
Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
Una uhakika kuna ma sister wanavaa mavazi yao wakiwa wanatoa kaulia Ambazo ni msimamo wa serikali? Au umekulipuka kuandika?
 
Mnamuonea bure huyu al shabab. Mbona aliyemuumba anavaa mishungi na hamlalamiki?
 
Nani Amekwambia kanzu ni vazi la kiislamu? Acha upumbavu wewe udini tu umekujaa mjinga weee
 
Una uhakika kuna ma sister wanavaa mavazi yao wakiwa wanatoa kaulia Ambazo ni msimamo wa serikali? Au umekulipuka kuandika?
Nyerere katoa kauli za serikali, amehutubia akiwa kavaa kanzu na balaghashia. Hilo vipi?
 
Waislam ni 75% tanzania
Waislamu wote Tanzania NI asilimia 15 .mkuu weka data vizuri.


Kuna SEHEMU ukienda unaweza husiamini Kama wewe NI muislam kuupata msikiti NI changamoto kubwa Sana

Nakutajia SEHEMU moja .manyovu
 
Ksa kukazia tu ndio maana Wayemen wanakandwa kila uchao
 
Miaka 63 ya Uhuru bado watu wanajadili nani anavaa nini! stop this nonsense
'Symbolism' mkuu 'Nguruvi3' ina maana kubwa na hasa inapotokea nyakati za joto kali kama ilivyo sasa katika maswala mengine ndani ya nchi.
Kiongozi mwenye busara anajitahidi kuepusha tafsiri ya matendo isiyokuwa na lazima hasa nyakati kama hizi tulizomo.
 
Usifanganye umma.
Waislamu ni 99.999% huko Zenj.
Huku Tanganyike cheki facts zako ni kato ya 30-35%.
Na nchi hii haina dini.
Halafu tubandikie picha ya waziri aliyevaa msalaba.
Yuko Jokate huwa anavaa vazi la dini ya kikristo (kimini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…