Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
wazungu wametufanya vibaya sana Wakristu mpaka tumekuwa。majinga!,hayo ndio mavazi Yesu hijab walivaa wanawake, ni mavazi ya Kiarabu,wazungu washenzi sana wakayageuza ni ya Kiiislamu, Warumi wakavamia lile hekalu la Costantinopole,waka loot kila kitu,wakasomba,wakapeleka kwenda kujengea kanisa la Roma,wakabadili mavazi na kupindua sheria ya Mussa!。Misri ya wakati huo haikuwa ya Kiislamu na hivyo kuthibitisha kwamba Kanzu sio Vazi la Kiislam bali asili yake ni Mashariki ya Kati ambako Wakristo na Wafuasi wa Mwamedi huwa wanavaa kanzu!
hilo ni vazi la Kiarabu,Baada ya Ibahim kumzaa Ismail na Isaka,Isaka akamzaa Yakobo,Waisraeli walihamia utumwani Misri walikokaa miaka 400!,mavazi ndio hayo!。 Yesu baada ya kuzaliwa Bethlehemu,alikulia Misri maisha yake yote,mavazi ndio hayo。 Hadi aliporudi Israel na umri wa miaka 30, japo hakuacha dini yoyote,lakini dress code ndio hiyo!。Misri ya wakati huo ilikuwa ni ya kiislamu?
Ujinga katika bora wakeView attachment 3314081
Mh. Bashe ujumbe wako kwa mataifa ya Afrika Kusini na Malawi naukubali sana.
Hawa jamaa wanatuchezea.
Nisichokubaliana nawe Bashe ni vazi ulilovaa ukitoa tamko la Serikali.
Vazi linaashiria udini na uswahili na sijui kwa kiserekali kama hilo ni formal attire.
Sijui Basheanatupa ujumbe gani.
Msimamizi wa Baraza la Mwazriri Majaliwa Majaliwa, ataruhusu hili?
Hata wiki iliyopita Bashe alivaa vazi hilo hilo.
Sipingani nabuswahili au dini yz Bashe, lakini message na vazi haviendani.
Au ndio msimamo wa Rais Samia?
Siyo siri, kwa wengine hili limetukera
Waislam sio 75% ya watanzania. Labda kama unamaanisha 75% ya waislamu wa Tanzania ni mbumbumbu, hapo utakuwa karibu sana na ukweli.Waislam ni 75% tanzania
Kwa hiyo suti na tai ni vazi la kiafrika?Waziri wa Tanzania, mwenye asili ya Somalia anatoa matamko rasmi ya kiserikali akiwa kavaa vazi la kiarabu?
Ndiyo tuseme mwarabu anatake over kwa mlango wa nyuma?
UONGO hakuna masista wa kanisa walioajiriwa shule au hospitali za serikali, labda kama wanajitolea tu.Wanafanya kazi vituo vya serikali ni walimu, wauguzi nk
Sijawahi kuona Ofisi za serikali zilizotundikwa misalaba, kama zipo ni makosa pia na inatakiwa kuondolewa haraka sana. Wakatoliki ambao huwa wanavaa rozari angalu wanazivaa ndani ya nguo zao kasoro mabishoo wachache wasanii.Ila angevaa msalaba ingekuwa poa tu,
Hilo ni vazi tu acheni uwoga
Magari ya serikali yamejaa misalaba ndani, ofisi za serikali zimejaa misalaba ndani ila muislam akitenga tu nafasi amsujudie mola wake maneno kama yote
Ila leo mumepituka, yaani mnaogopa mpaka kanzu?
Waislam ni 75% tanzania
Sijawahi kumuona Al-Sisi amevaa kanzu.Ifike wakati muache ulimbukeni wa kuamini kanzu, kofia na mabaibui ni mavazi ya kiislam. Hayo ni mavi ya asili ya kiarabu. Kuna nchi za kiarabu zenye wakristo kama Misri, watu wote wanavaa hizo kanzu pasi kujali dini.
Ni vazi la kimataifaKwa hiyo suti na tai ni vazi la kiafrika?
Hembu avae tu suti kuepusha hii milolongo yote, suti na vazi la kimataifa linakubalia kote duniani bila mbambamba, halina kipengele.lubega halijapitishwa mkuu, ila vazi alilovaa bashe kwa nchii hii halina shida kabisa,,, japo bungeni nadhani lile koti aliloweka nyuma ya kitu alitakiwa awe amelivaa -- kumbukumbu yangu inasema hivyo
Wahaya wana ukaribu na Buganda Kingdom ambao walikubali vazi la kanzu waliloletwa na Mwarabu huko zamani karne ya 19 kuwa vazi lao la kitamaduni.Hilo siyo vazi la kiislamu,namfahamu mzee mmoja wa Kihaya anaingia Kanisani amevaa kanzu huku hahusiki chochote na mambo ya Kanisa ni muumini kama walivyo waumini wengine.
Kinanisikitisha mimi ni mtanzania kuzungumza habari za mavazi ya dini fulani yasionekane kwenye media viongozi wakizungumza karne hii,Tanzania ya Leo uhuru zaidi ya 60 years tunajadili kitu kama “KANZU”?tumefeli vibaya sana.
Tumia akili yako vizuri kilaza wewe. Huyo ni kiongozi wa serikali, huwezi kutoa press ya namna hiyo ukiwa na vazi la namna hiyo....tuacheni udini wa kipumbavu.Ila masista wa Katoliki kuvaa wakiwa kazini mashuleni na hospitalini haikukeri eee!
Suti ni vazi la kimataifaKama suti na tai ni sahihi kuvaa japo ni vazi la Wazungu basi hata Kanzu ni sahihi maana ni vazi la Waswahili 🤣🤣😂 !
Hapa mbona kama walikuwa kwenye futari au shughuli ya kidini?!Kanzu ni formal dress nchi nyingi tu Duniani
View attachment 3314406
View attachment 3314407
Hata ustadh John na Ben walikua wakivaa even kwenye formal issues.
Weeee wachia namba na sisi tuweke recoding vzrAliyeolewa ni mushtaq na nteze alibadili dini,mdogo wa kike mwingine ni kauthar,hajaolewa na mkristo, marehemu mzee bashe alikua sheikh mkuu nzega, hawezi ruhusu hilo,japo mushtaq waluwalu mapepe,mi mwenyewe nshapiga
Kwani kanzu sio vazi la kimataifa?Ni vazi la kimataifa
Jokate ni nani nchi hii??Yuko Jokate huwa anavaa vazi la dini ya kikristo (kimini)
Kwani Bashe amezungumza kama Sheikh au waziri wa serikali??Mwambie kwanza yule Askofu wenu Mwamakula asiwe anapanda kwenye majukwaa ya CHADEMA na mavazi ya kiaskofu.