Bashe ujumbe wako murua, vazi lako laleta maswali kwa watanzania

Unasema ziwa nyasa ni miliki ya nani? hapo nimesoma sijarekebisha vizuri miwani yangu.
 
Unateseka ukiwa kigango cha wapi ?!
 
😂 😂 Unafikiri tz ni mtwara na Lindi tu?
 
Ziwa na la kwetu wote kama hata sheria ya kimataifa nchi zinazopakana kama kuna ziwa wanashare wote mipaka. Kama wewe ni mnyasa wa Malawi utajua mwenyewe.
 
Usifanganye umma.
Waislamu ni 99.999% huko Zenj.
Huku Tanganyike cheki facts zako ni kato ya 30-35%.
Na nchi hii haina dini.
Halafu tubandikie picha ya waziri aliyevaa msalaba.
Kwamba waislamu ni 35% huku bara halafu wakristo ni kama 65% au 70% sawa mkuu, japo mimi sio muumini wa kuhangaika na wingi ila umetudanganya.
 
 
Je Bashe ni nani ktk usalama wa hili Taifa? Let wait and see nani ana akili kubwa.
 
Tuliona tukasema ila akasema ndio suluhusho mtoto akililia wembe mpe mpe umkate ninavyo ongea apple zina songa kama kawa amewapa fursa wa kenya akili za kuambiwa changanya na zako.... 😋
 
Wacha Weee!
Uislam ulikuwepo enzi hizo anazo zungumzia huyo?
Itakuwa sahihi kusema kuwa hayo yalikuwa ni mavazi ya jadi katika eneo hilo kuliko kubainisha kuwa yalikuwa ni mavazi ya kidini.
Tuachane na upotoshaji.
Uislamu ndio dini ya aadam, nuh, Idris, ibrahim, Ilyas, alyasa'a, yuunus, musa, harun, issa na wote unaowajua na usiowajua
.
 
Sasa Pasco mbona umelike comment yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…