Bashiru Ally: Heshima ya nchi yetu imeshuka, tunadhalilika kwa njaa

Ujamaa ulipitwa na wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu huyu Bashiru aliyekuwa anashirikiana na Jiwe
 
Chakula ni basic bidhaa mkuu!!
 
Akili na ubunifu = maarifa, je serikali haipaswi kuwa na maarifa ya kutatua kero kila wakati, maana maarifa hayana ukomo
 
Kumbe ulitaka wanywe maji ya kununua na pesa hawana?
 
Asante!!

Tumeshajua wakulima wanauza nje sabab ya bei kubwa ni jukumu la serikali kutoa bei elekez itakayomfaidisha mkulima mpka mnunuz.Bei iwe inamshawish mkulima kuuza mazao ndan. Ukisema usifunge mipak faham ata tukizalisha tons of milion wakulima watakimbilia nje kuuza mazao yao mpka demand ya nje ifike neutral ndo wataanza kulifikiria soko la ndani. Kufikia demand ya nje sio kaz rahis itachukua mda huku wananchi wakiteseka kweny nchi yao.

Ifanyike research serikali ifaham demand ya ndan kisha itoe bei yenye maslah kwa wote, ile surplus ndo itoke nje
 

Ni hivi, ushauri wa mtu mshenzi hauna nafasi hata uwe mzuri vipi. Alipokuwa kwenye madaraka alifanyia watu wasiomsujudia boss wake ushenzi. Isitoshe hakuna mtu anataka awasemee. Kama unataka akusemee, akusemee ww kumpango wako.
 
Hazina uhalisia ni uzushi.Sokoni msosi buku jero unapunguzaje mlo Sasa? Ndizi ya kuchoma 300,ya kuiva 100-200
[emoji2357][emoji2357][emoji2357] hiv unajua mtaan kuna watu wanaishi chini ya dola moja. Nchi inatakiwa itengenezwe kumsaidia yule wa chini mpka wa juu.

Hizo hesabu unapiga sabab hio pesa unayo, faham ata kilo ikifika 10k bado kuna watu watanunua na watakuja hapa kushangaa mtu anashindwa nin kula wali wa 3500 matunda ya 1000
 
Ni hivi, ushauri wa mtu mshenzi hauna nafasi hata uwe mzuri vipi. Alipokuwa kwenye madaraka alifanyia watu wasiomsujudia boss wake ushenzi. Isitoshe hakuna mtu anataka awasemee. Kama unataka akusemee, akusemee ww kumpango wako.

Ni wajibu wake kuwasemea wananchi ndo sabab ya kuwa pale. Ni wapi alifany watu wamsujudie maguful?

Kukataa ushaur mzuri wa mtu kisa ni muovu,nu dalili ya uwepo wa wale maadui watatu alosema Hayat Nyerere "UJINGA,UMASKIN, MARADHI"
 
Walipoambiwa mkulima size kwa Bei anayoitaka mlitegemea Bei ishuke?. Yeye alibuni nini?
 
Bora hata ya Samia watu wanalala usingizi kwa amani, ogopa sana mtu aliyevuruga na kuiba uchaguzi nchi nzima, na alinunua wapinzani kwa pesa za walipa kodi, na kwa majivuno na kiburi aliwahi kusema bila kuogopa chama kikiwa na dola hakiwezi kushindwa uchaguzi, sielewi watu wanaomwona wa maana huyu mwehu, alichofanya na wenzake uchaguzi uliopita angeweza kabisa kusababisha mauaji ya maelfu ya watu, njaa tuu na kupigwa nje vinamsumbua
 
Wabongo wengi ni watu wanaodanganyika kirahisi sana mkuu

Yani sasa hivi wengine washamuona Bashiru bonge la mkombozi.

Wamesahau ujinga wote aliofanya na Magufuli, au pengine hawajasahau, wanaona ni sawa.
 
Aliyesababisha njaa kwa uongozi mbovu akitemwa na kuja kukuambia habari za njaa unaweza kukubali kwamba kuna njaa, ukamwambia wewe ndiye uliyeisababisha kwa uongozi wako mbovu hivyo wewe si sehemu ya ufumbuzi wa tatizo, wewe ni sehemu ya sababu za tatizo.

Bashiru na rafiki yake Magufuli walijikita kununua wapinzani badala ya kushughulikia strategic food security plan.

Leo anapiga kelele kuhusu tatizo alilolisababisha yeye mwenyewe kwa sababu leo hayupo ndani ya executive, ni backbencher tu.

Hogwash.
 
Suluhisho la haya yote ni kuanzisha kilimo cha umwagiliaji,
Tuna vyanzo vingi vya maji.
Tuna mito na maziwa lukuki,kwa nini tupate njaa?
 
Unavyoshadadia swala la kununuliwa watu bila shaka ww ni mtupu kichwani .unaamini binadamu mwenye akili timamu anaweza kununuliwa ?
 
Ungeongelea jinsi Bashir na magufuli walivosababisha njaa ingefana sana. Naomba unambie nin Bashir na magufuli walifany mpka kikasababisha hili janga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…