Basi la Sauli lapata ajali Picha ya Ndege, Kibaha. Wanne wajeruhiwa, 40 wanusurika

Basi la Sauli lapata ajali Picha ya Ndege, Kibaha. Wanne wajeruhiwa, 40 wanusurika

Huyu Dereva lazima afutiwe leseni Tu. huko polisi wataunganisha DOTs na kisa cha kuomba msamaha Simbachawene
 
Abiria hawawezi lalamika sana, sababu wengi huwa wanalipendea mwendo mkali.
 
Kibaha.

Watu wanne wamejeruhiwa na wengine 40 kunusurika baada ya ajali ya basi ya kampuni ya Sauli eneo la Picha ya Ndege Kibaha mkoani Pwani .

Ajali hiyo imetokea leo Jumatatu Agosti 23, 2021 saa 6:45 asubuhi baada ya dereva wa basi hilo ambaye jina lake halikupatikana mapema kulielekeza pembezoni za barabara ili kukwepa kugongana uso kwa uso wa uso na lori lillokuwa likitokea mbele yake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa amesema;

" Dereva alikuwa anaovateki gari lililokuwa mbele ya macho yake na baada ya kulitazama aliona lori linakuja mbele yake akalielekeza pembezoni mwa barabara basi hilo na likachegama," alisema.

Alisema kuwa majeruhi hao waliwahishwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi ambapo walipatiwa matibabu na kisha kuruhusiwa.

Ukiuliza alikuwa anawahi wapi hakuna jibu
 
Dwf iyo mdau hata miezi sita haina toka waichukue pale saab scania
Insurance itawapa jingine DXT😂, tutazindua, yaani mie na miguu mirefu ya bagoshaa, ni Sauli, Happy Nation.

Everyday is Saturday................................😎
 
Sauli mnyama

Madereva wake wapo makini sna sijui leo imetokea nini

Iyo DWF ina madavo wazuri sna leo alikua Njau + Tito

Ila jambo la kumshukuru Mungu hakuna madhara makubwa kwa binadamu
Mzungu katengeneza gari na linamuua sembuse hao washamba wenzeni wa sauli!?? Badilikini nyie acheni ushamba HIGH SPEED KILLS!!!!
 
Dereva ameonyesha uwezo mkubwa cha muhimu madhara sio makubwa bravo Tito
I saw, yaani wewe unampongeza dereva ambaye alikuwa ana-overtake isivyo stahili na kutaka kugongana uso kwa uso na lori mbele yake? Wewe sio dereva.

Yaani ni kwamba dereva wa basi aliamua kuovertake wakati kuna lori inakuja mbele yake, akashindwa kurudi upande wake, na ili asigongane uso kwa uso na lori akaingia kulia ndio basi ikazabwa kofi la shavu na lori. Sasa utampongezaje mjinga huyu dereva wa basi? Akamatwe afungwe jela.
 
Dah! Hawa wapuuzi wanatembea si mchezo!! Cha kushangaza abiria wanapenda kweli kupanda mabasi yao!!
Yaani aina ya basi, na huo mwendo ukiwa ndani husikii kitu. Viti kama ndegeni, wahudumu wastaraabu, hatupandi tu kwa mwendo yapo mengine. Chaji nachomeka mpaka laptop kwenye socket kama nyumbani au USB, safari nzima hakuna karaha.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Yaani aina ya basi, na huo mwendo ukiwa ndani husikii kitu. Viti kama ndegeni, wahudumu wastaraabu, hatupandi tu kwa mwendo yapo mengine. Chaji nachomeka mpaka laptop kwenye socket kama nyumbani au USB, safari nzima hakuna karaha.

Everyday is Saturday............................... 😎
Ovyoooo,, yani mijitu mingine zilongwa mbali zitendwa mbali tumejisemea wazaromo
 
watu wengi mnao comment humu hamjawah kupanda hzi bus. sauli zinatembea speed ya kawaida tu hawazid 85km/h.ila hawa jamaa wana jali sana muda.hawapotez muda hata kidgo.

Kwa tulio wah panda na kukaa siti za mbele pale watakuwa wanaelewa. sema tu ni gari maarufu saana na zimetokea kupenda na wadau. na umaarufu ndo unaziponza hz gari. kuna kampuni za kuelkea mwanza uko sitaji jina.hao ni speed 110 to 115.

Sauli mtumiaj mzuri wa bus zao hawana tatizo hao.
 
Back
Top Bottom