Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜†πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…βš½οΈβš½οΈβšΎοΈβšΎοΈπŸ₯ŽπŸ₯Ž
 
Mada ya ajabu kabisa na haijawahi tokea humu.

Ndiyo maana wengi wanasema..punda anarusha mateka anapokufa.

My friend usitufananishe na wale wenye kujuwa kusoma na kuandika tu,tuko next level.

Kwa akili zako nani atavaa nguo ya katiba mpya sasa hivi wakati anajuwa what will happen?

Achana na sisi Braza.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…