Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

Kura za nini kwenye mechi ?!
Mipira ya Yanga & Simba watu huvaa kufuata upenzi wao. Je kila mwana uvccm ni shabiki wa Yanga kisa tu cha rangi ya jezi ?!

Punguza ujinga
Huwezi jua kitu we bwa mdogo
 
We unajua impact ya michezo kwenye siasa?
Wapo wana Yanga wengi sana kwa mamilioni ni wafuasi wa Cdm bila kujali jezi zao, na pia wapo wengi ni wafuasi wa Ccm. Hivyo hivyo kwa Simba.

Mipira na siasa ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wewe unataka ushabiki wa kisiasa uhamie kwenye upenzi wa michezo . (HAVIENDANI)
 
Wageni wote mjini hapa walioamua kuanza kushabikia mpira wako Simba. Yanga passion bwana, sio ubishoo.😀
 
Back
Top Bottom