Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Mm sihitaji kura za mtu yoyote maana sina interest na siasa. Ila ni mada ya kitoto sana. Small mind talks bullshit all the timeKura za wanayanga hazina umuhimu kwenu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sihitaji kura za mtu yoyote maana sina interest na siasa. Ila ni mada ya kitoto sana. Small mind talks bullshit all the timeKura za wanayanga hazina umuhimu kwenu?
Maswahaiba wa Magonjwa MtambukaKwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.View attachment 2041065
Kura za nini kwenye mechi ?!Kura za wanayanga hazina umuhimu kwenu?
Kama hivi ndiyo unajifanya kujua kitu , basi huna maana.Huwezi jua kitu we bwa mdogo
You dont know shit idiotYou know nothing son of gun
Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.View attachment 2041065
wanadhihirisha ubeberu
Masikini kiroboto umebananiswa kwenye kona ya kitanda [emoji23]
Umevaa nguo ya ndani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] awwww miss idugunde is angry againSon of gun shutup .
Wapo wana Yanga wengi sana kwa mamilioni ni wafuasi wa Cdm bila kujali jezi zao, na pia wapo wengi ni wafuasi wa Ccm. Hivyo hivyo kwa Simba.We unajua impact ya michezo kwenye siasa?
Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.View attachment 2041065
Kwani walienda kuangalia mpira wa chama au mapenzi binafsi?Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.View attachment 2041065