Pre GE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ninashauri watumie style ya zamani ya Kenya, wapigakura wanajipanga nyuma ya mgombea
ni staili ya kizamani ila nzuri sana japo itakuwa na usaliti kama umelambishwa asali halafu ukajipange kwa mwingine
 
Ni kweli, siasa zinaweza kuwa na sura mbili; shangwe za leo si lazima ziakisi matokeo ya mwisho. Mwisho wa siku, uamuzi upo mikononi mwa wapiga kura, na lolote linaweza kutokea.
however, hizi shangwe ni indicator tosha ya ushindi, hayo mengine ni prediction tu
 
Unafiki wa Siasa unapaswa utambue kuwa sio kila shangwe ni ya kushangilia. Nyingine ni ya kuzomea pia.

Lissu anakubalika mno lakini sio kushinda pesa. Mbowe kapoteza umaarufu lakini ana pesa ya kuhonga na hiyo ndio itamfanya ashinde.
wajumbe wale tu pesa zake ila kura kwa lissu, hela zisiwalevye wakaacha kufanya mabadliko ya siasa za chama chao
 
kula kwa mbowe, kura kwa lissu
 
Itakuwa ni aibu kama chadema watatumia mbinu za ccm kupata mshindi. Hiyo itakuwa suicidal ya chama. Maana watakuwa wamepoteza hoja na kusudi Lao la kuwa cha mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…