BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Kweli mapepo yamewatawala mpaka mnamnanga marehemu!
 
Watoe na Ya yule wa CHUGA
 
Itasaidia watu wasitapeliwe zaidi , hasa Wanawake ambao kimaumbile huamnini haraka mazingaombwe kama yale ya Kawe
Alafu mwisho wanaambiwa "Piga makofi kwa bwana yesu" πŸ˜‚

Yaan yesu anapewa zawadi ya makofi... saa zingine wanaimbishwa kama watoto wa chekechea, eti "Sema Ayayaaa" na wao wanasema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kweli mwalimu wa wanawake ni kipofu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Kwanini walisubiri afe kwanza? Sisi tataamini vipi story ya upande mmoja?
 
Mrangi mtoto wa mjini
Na wakati mama rwakatare anataka kuanzisha mchongo wake,alisaidiwa sana na jamaa mmoja anaitwa D. mwakisambo ,mjanja tu tp fulani
Alikuwa yaani mhuni tu
Aise na kweli kanisa likaja [emoji1]
Hapa mjini tunawaangalia tu watu
Ila wengi fix tu
Sema nchi hii ina wajinga wengi sana
Na hawaishi labda bahari ikauke

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…