Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Si wakuja hao ndio wanajaa humo wakati ma born town mnawachora tu hapo mjiniNa wakati mama rwakatare anataka kuanzisha mchongo wake,alisaidiwa sana na jamaa mmoja anaitwa D. mwakisambo ,mjanja tu tp fulani
Alikuwa yaani mhuni tu
Aise na kweli kanisa likaja [emoji1]
Hapa mjini tunawaangalia tu watu
Ila wengi fix tu
Sema nchi hii ina wajinga wengi sana
Na hawaishi labda bahari ikauke
Ova
Kwann wanaitoa?It is shutting down!
Mjanja huwezi mkuta hukoSi wakuja hao ndio wanajaa humo wakati ma born town mnawachora tu hapo mjini
Hivi huyo mama si alishakata moto eeh
Alishakata motoSi wakuja hao ndio wanajaa humo wakati ma born town mnawachora tu hapo mjini
Hivi huyo mama si alishakata moto eeh
Fernandez ndio yule kama muhindi wa ATN? Na mkewe kamama Fulani hivi yule mzee ukimuangalia tu unaona wazi upigajiMjanja huwezi mkuta huko
Maana michezo hiyo watu wanaijua
Na wao wenyewe wanawajua ni fooo
Tu
Kuna wakati fulani muda kdg
Nlikuwa mahali TV agape
Ahh mara nkamuona mzee mmja anasukumwa na wheelchair mara anasimama anatoaushuhuda
Sahv anaweza simama na kutembea
[emoji1] yule frndz alimuombea
Sasa nkasema yule si fulani na juzi tu nlikuwa naye mzima kabisa vp tena hapo,aise nlicheka sana
Haya mambo ni biashara tu za imani
Na wao wenyewe wanakuambia ukishawatekq watu kwenye imani umewakamata
Ova
Hata hivyo alisumbua kwa wakati wakeAlishakata moto
Na yule mama nshakutana naye tu
Kwenye dili 1,2 mjanjajanja tu
Ova
Sema bongo tungepata waandishi kama Mohamed tungetolewa tongotongo nyingi. Jamaa alikuwa na full evidence
Fernandez ndio yule kama muhindi wa ATN? Na mkewe kamama Fulani hivi yule mzee ukimuangalia tu unaona wazi upigaji
Bongo lini wanakuja?Breaking News: BBC inatazamia kuchapisha nakala ya uchunguzi wa kuacha vinywa wazi inayoeleza matukio ya kikatili, Miujiza ya Kughushi, uhalifu, na ubakaji uliofanywa na Marehemu Mchungaji Temitope Balogun Joshua, almaarufu Nabii TB Joshua!!!
Kupitia page ya twitter ya Sahara Reporters wameelezea matukio aliyofanya ambayo yanatarajiwa kupostiwa na BBC katika video
View attachment 2864719
Tizama kipande hiki cha BBC wakihoji watu waliokumbwa na unabii feki wa TB Joshua....
Hii inashangaza!!! 😱🚴🏿♀️🚴🏿♀️🚴🏿♀️💨
📺 Video Credit: BBC
View attachment 2864718
TB Joshua alikuwa ni mchungaji maarufu wa Kikristo na mwanzilishi wa kanisa la Synagogue, Church of All Nations (SCOAN) huko Lagos, Nigeria. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika jamii na alihusika katika huduma za kiroho, uponyaji, na mafundisho ya Biblia. Hata hivyo, alifariki dunia mnamo Juni 2021.
Wasimsahau Gwajima😁
Uongo huo. Ingekuwa kweli, wangetoa akiwa hai. Wanafiki kabisa hao, kwakuwa hawezi kujitetea ndio wanatoa.
Mwenyewe amekanusha hilo, japo tayari ni doa, ila hawa wahubiri daahTD Jakes ana skendo balaa. Kuna kashfa zake za ushoga wake na P Diddy
BBC walipaswa watoe wakati yupo hai.
Hao manabii wapo wengii sana. Waachane na marehemu waje kuchunguza kina Mwamposa huku na miujiza yao,,, maana wanajenga mahoteli kwa sadaka za waumini maskini
Uchungaji umetokea wapi sasa kama anapiga dili zingine?Yule Fernandez ni mfanya biashara. Huko nyuma alikuwa hakauki Handeni kulikuwa na machimbo maeneo ya huko.
Hahahaa mkuu umenikumbusha enzi hizo nikiwa na Tv( nina miaka 6siangalii tv)Fernandez ndio yule kama muhindi wa ATN? Na mkewe kamama Fulani hivi yule mzee ukimuangalia tu unaona wazi upigaji
Walete waleteeeeeee,BBC Eye my favourite Kwa kutifua makaburi,na hapa bongo waje Kuna wachungaji wanakula sana kondoo,Kuna mmoja wa Arusha ameweka Hadi shindano la kuchagua wa kunyandua yaani kondoo wanaliwa haswa.
Mzee kule Uzi wetu vipi umeshashusha mzigo nikacheki?Bongo lini wanakuja?