Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Hii aitengeneze tu Mange asaidiane na Kabendera then wairushe BBC hata Al Jazeera dunia ijueWadocument na Ufisadi wa Abdul, na mama yake, na mjombo wao wa tiss
Hii aitengeneze tu Mange asaidiane na Kabendera then wairushe BBC hata Al Jazeera dunia ijueWadocument na Ufisadi wa Abdul, na mama yake, na mjombo wao wa tiss
Kuachiwa kwa Tundu Lissu ni jambo moja na kuteka na kupoteza wananchi wasio na hatia ni jambo lingine.Tundu Lissu siyo mhaini, free him. Jinsi sera ya ccm ilivyopwaya kampeni ni kusomba wanadamu kama mifugo.
Ukiwakosoa kamata teka, tesa, poteza, kuua
Kwahiyo wewe kumiliki hiyo Tecno yako yenye bando la buku unaona ndiyo mafanikio? Wewe ndiye mwenye changamoto ya afya ya akiliNadhani watu kama hawa huyu mleta mada maisha yashamshinda hajafanya chochote katika maisha yake sasa hasira alizonazo anajaribu tupa lawama kwa na kutengeneza stori kulaumu kuwa watu wengine wanaangusha maisha ya wengine ikiwamo ya kwake. Kaka fanya kazi upate pesa
Ni suala la muda tu.ICC wamechelewa saana
Na imeshaona na itaona.Safi sana, acha dunia ione..
Inaitwaje au tupe link hapa..Na imeshaona na itaona.
Itengenezwe documentary moja kali iende Aljazeera, BBC, CNN , NetFlix , Amazon Prime n.kNa imeshaona na itaona.
Ila ikiwezekana utupasie na hapa.Hatimaye documentary ya Utekaji na Upotezaji wa Wakosoaji wa Serikali imerushwa rasmi na Chombo cha habari cha Kimataifa cha BBC
Kurushwa kwa habari hii rasmi na Chombo rasmi cha habari cha Kimataifa ni uthibitisho rasmi kuwa masuala ya utekwaji na upotezwaji wa Watanzania wasio na hatia umefika rasmi Kimataifa.
Huu ni mwanzo mzuri kwenye shauri atakalofunguliwa Samia, Mtoto wake Abdul, Mkwe wake Mchengerwa na Wasaidizi wao wote akiwemo SACP Mafwele, CP Awadhi, Juma Homera, IGP Wambura na Wengineo wengi katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ( ICC) wakati wowote ule kuanzia sasa.
Tunashukuru BBC. Tunategemea Makala ile kurushwa zaidi hadi kwenye Channel yenu ya Kiingereza ikiwemo kwenye Program ya Focus on Africa.
No Reform No Election ✊️ ✌️
Tena inabidi itengenezwe inayohusu masuala ya Ufisadi ili Dunia ione wanavyofisadi hela za Watanganyika na kuzitumia kwa starehe zao binafsi ikiwemo kujinunuliq magari ya kifahari.Itengenezwe documentary moja kali iende Aljazeera, BBC, CNN , NetFlix , Amazon Prime n.k
Nenda kwenye pages zao YouTube, Fb na X kote mambo hadharani.Ila ikiwezekana utupasie na hapa.
Sasa wewe kujiita sexless huoni kwamba wewe ndio una changamoto ya afya ya akili iliyopitiliza? KatibiweKwahiyo wewe kumiliki hiyo Tecno yako yenye bando la buku unaona ndiyo mafanikio? Wewe ndiye mwenye changamoto ya afya ya akili