gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Aliyeandika si ni mpumbavuMbona sijaona aliyetajwa

Ndiyo maana mnatekwaKuna watu kama 15 lazma wauawe Ili nchi iwe salama, wa kwanza ni yule Mzee aliekatwa pumbu akitibiwa ule ugonjwa unakula kende Kwa ndani
Yaani aina ya watu kama hawa walioleta hii mada hawana shughuli za kujiingizia kipato za kujishughulisha nazo. Pili ni watu wanaojisikia hawana thamni duniani. Yaani wana low self worth. Sasa kutengeneza story kama hii yenye udanganyifu na kuona watu waki reply ndio kwake naye anajisikia ahh kumbe na yeye yumo. Inampa ka nafuu lakini deepdown anajisikia worthlessAliyeandika si ni mpumbavu
Jitihada zote za ndani na nje lazima zifanyike.Ndugu watanzania hizi ni hatua nzuri.
Ila tusijisahau jukumu la kuimkomboa hii nchi ni la sisi wananchi
Mleta mada bora umeliona hilo, kwa kweli haya mambo ni fedhea kwa taifa letu pendwa. Yanatupaka matope. Natamani haya mambo ya watu kukosa uhuru wa kujieleza yafike ukomo wake.Hatimaye documentary ya Utekaji na Upotezaji wa Wakosoaji wa Serikali imerushwa rasmi na Chombo cha habari cha Kimataifa cha BBC
Kurushwa kwa habari hii rasmi na Chombo rasmi cha habari cha Kimataifa ni uthibitisho rasmi kuwa masuala ya utekwaji na upotezwaji wa Watanzania wasio na hatia umefika rasmi Kimataifa.
Huu ni mwanzo mzuri kwenye shauri atakalofunguliwa Samia, Mtoto wake Abdul, Mkwe wake Mchengerwa na Wasaidizi wao wote akiwemo SACP Mafwele, CP Awadhi, Juma Homera, IGP Wambura na Wengineo wengi katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ( ICC) wakati wowote ule kuanzia sasa.
Tunashukuru BBC. Tunategemea Makala ile kurushwa zaidi hadi kwenye Channel yenu ya Kiingereza ikiwemo kwenye Program ya Focus on Africa.
No Reform No Election ✊️ ✌️
Ili iweje?Kikosi kazi cha CCM inabidi kifanyiwe overhaul,nao waweke watu ambao wako vizuri upstairs.Akina Mwijaku,Steve Nyerere na wengine,wawe nì local,halafu watafute wale ambao ni international.
Ili waharibu kujisafisha pale wanapochafuliwa kimataifa.Ili iweje?
Kuna la kujisafisha hapa?Ili waharibu kujisafisha pale wanapochafuliwa kimataifa.
Mkuu wewe unataka wakosoaji wa serikali waendelee kuuawa hadi lini? Muogope Mungu mkuu.Kuna vitu vingine huwa nashindwa kuelewa. Inawezekana watz wengi wana tatizobla changamoto ya afya ya akili. Sasa mleta habari anasema bbc imelitaja genge watu wanategemea umewaletea taarifa ukiwaweka wazi hao waliotajwa ili kila mtu awajue. Sasa wewe unachofanya kinamsaidia mtu kivipi anayesoma uzi huu?
Maana hayo majina hawajayaona. Au unatafuta tu validation kwamba na wewe uliwahi andikaga kitu humu.
Huu muda uliotumia kuandika huu uzi si ungekuwa unafanya kazi inayokupatia kipato baadae watoto wako angalau wapate chochote kitu tumboni. Aisee kweli changamoto ya afya ya akili ni kubwa tz

Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia.
WATUHUMIWA WANASEMAJE?
Viongozi wa serikali walipotakiwa kutoa ufafanuzi, wamekimbia na kuingia mitini. Mbali na kamanda wa polisi aliyesema uchunguzi bado unaendelea, hadi sasa kuna wakosoaji wengi wa serikali wameuawa, akiwemo Tundu Lissu aliyeponea chupuchupu kuuawa kwa risasi.
Watetezi wa haki za binadamu wamekuwa wakikemea vikali mauaji haya na kusema ikiwa watu wana makosa ni afadhali wafungwe jela badala ya kuuawa ovyo kama umbwa. Wametolea mfano wa Car of God ambaye alifungwa kihalali kwa kuchoma picha ya rais na kulipa faini halali ya kisheria lakini baadaye wauaji wakaja kuchukua. Haipendezi.
MAONI YANGU
Nakemea kwa nguvu zote haya mauaji ya wakosoaji wa serikali. Kama wana makosa ni vizuri wafungwe badala ya kuuawa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=dpelpum5ecU
ZABURI 109 NA 35 HAKIKA HAWATAPONASala yetu iwe ZABURI 109 na 35 kwa ajili ya watesi na wote wanaotudharau Watanzania
Ndio maana kijana nakushauri usiweke obsession mbele. Obsession ni changamoto ya afya ya akili. Unaongelea jambo bila evidence, unaliweka akilini unalizungusha humo hadi linakuchanganya. Unajipa ru sonona mwenyewe.Mkuu wewe unataka wakosoaji wa serikali waendelee kuuawa hadi lini? Muogope Mungu mkuu.