BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

Ndio maana kijana nakushauri usiweke obsession mbele. Obsession ni changamoto ya afya ya akili. Unaongelea jambo bila evidence, unaliweka akilini unalizungusha humo hadi linakuchanganya. Unajipa ru sonona mwenyewe.

Kama unadhani kuna jambo kama unavyosema serikali inafanyia watu hayo maovu, fungueni kesi mahakama za kimataifa za makosa jinai waje wachunguze. Hii unaandika tu vitu huambatishi majina ni nani wanahusika inakusaidia nini. Itakusaidia kama ukiweka evidence yaani majina ya wanaohusika. Kama wao wamevunja sheria basi kawashitakini wachunguzwe

Mpinzani wenu kaishi ubelgiji muda gani, alishindwa kuishtaki serikali huko kimataifa? Yeye kaamua kurudi eti apambane akiwa ndani. Kimemkuta nini sasa!
Mkuu kumbe ndio zenu kuwachukua watu na kuwapoteza ili tusipate ushahidi? Sasa nimeelewa wewe ndio walewale wauaji. Unanizungusha akili na kichwa ili nipotezee muendelee kuua watu kama mbwa ili malengo ya shetani anayewatuma yatimie.
 
Asubuhi RFA na Radio One walikata matangazo ya BBC kwa ajili ya taarifa hii.
Kumbe hata wewe uliona mkuu? Kwanza walianza kukata RFA kisha Radio One wakafuata. Inaonekana walipigiwa simu na akina Abdul wakawaonya waache kuongelea hayo mambo mara moja.
 

Hatimaye documentary ya Utekaji na Upotezaji wa Wakosoaji wa Serikali imerushwa rasmi na Chombo cha habari cha Kimataifa cha BBC

Kurushwa kwa habari hii rasmi na Chombo rasmi cha habari cha Kimataifa ni uthibitisho rasmi kuwa masuala ya utekwaji na upotezwaji wa Watanzania wasio na hatia umefika rasmi Kimataifa.

Huu ni mwanzo mzuri kwenye shauri atakalofunguliwa Samia, Mtoto wake Abdul, Mkwe wake Mchengerwa na Wasaidizi wao wote akiwemo SACP Mafwele, CP Awadhi, Juma Homera, IGP Wambura na Wengineo wengi katika Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ( ICC) wakati wowote ule kuanzia sasa.

Tunashukuru BBC. Tunategemea Makala ile kurushwa zaidi hadi kwenye Channel yenu ya Kiingereza ikiwemo kwenye Program ya Focus on Africa.

No Reform No Election ✊️ ✌️

Wakati taarifa hiyo ikirushwa na RFA na Radio One, Abdul na genge lake la mauaji walipiga simu wakawatisha matangazo yakakatwa.
 
Nataka kukubali kwamba vijana wengi Tz wana tatizo ktk ufahamu/uelewa wa kuelezea jambo au mambo.
Afya ya akili ktk kuelezea jambo hujulikana wazi ktk kutolea taarfa.
Yaani taarfa anaisikiliza yy ,wkt wa kuiwasilisha kichwa kichwa ujumbe kinakuwa kingine na wala haviendani na ujumbe wenyewe.
Hawa wamejaa sana Youtube ,Facebook n.k ndio wanaohama h@ma mitandao kama Nyumbu wakipost post bila weredi.
Hawa ni nyumbu wa kidijital .com
Mkuu kama huataki kudikiliza na ukisikiliza huelewi, unataka mimj nifanye nini hasa ili unielewe.
 
Mabeberu bwanaaaaaaa? Anyway endelea kuruka ruka kama bisi kwenye sufuria lkn kwa ukali wa moto bisi lazima ziive!
Sasa ndio umeandika nini mkuu au una changamoto ya afya ya akili?
 
Yaani aina ya watu kama hawa walioleta hii mada hawana shughuli za kujiingizia kipato za kujishughulisha nazo. Pili ni watu wanaojisikia hawana thamni duniani. Yaani wana low self worth. Sasa kutengeneza story kama hii yenye udanganyifu na kuona watu waki reply ndio kwake naye anajisikia ahh kumbe na yeye yumo. Inampa ka nafuu lakini deepdown anajisikia worthless
Kama vipi njoo uniteke mkuu maana najua hii ndio kazi unayoiweza.
 
Hivi huu utekaji utakoma lini katika nchi hii ya kusadikika?
 
Back
Top Bottom