BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

Kuna watu kama 15 lazma wauawe Ili nchi iwe salama, wa kwanza ni yule Mzee aliekatwa pumbu akitibiwa ule ugonjwa unakula kende Kwa ndani
 
Tundu Lissu siyo mhaini, free him. Jinsi sera ya ccm ilivyopwaya kampeni ni kusomba wanadamu kama mifugo.
Ukiwakosoa kamata teka, tesa, poteza, kuua
Kuachiwa kwa Tundu Lissu ni jambo moja na kuteka na kupoteza wananchi wasio na hatia ni jambo lingine.

Forced disappearance ni kosa la Jinai Kimataifa.

Kidnapping pia ni kosa la Jinai Kimataifa.

Kuua raia wasio na hatia ni Kosa la Jinai Kimataifa.
 
Kwahiyo wewe kumiliki hiyo Tecno yako yenye bando la buku unaona ndiyo mafanikio? Wewe ndiye mwenye changamoto ya afya ya akili
 
Nataka kukubali kwamba vijana wengi Tz wana tatizo ktk ufahamu/uelewa wa kuelezea jambo au mambo.
Afya ya akili ktk kuelezea jambo hujulikana wazi ktk kutolea taarfa.
Yaani taarfa anaisikiliza yy ,wkt wa kuiwasilisha kichwa kichwa ujumbe kinakuwa kingine na wala haviendani na ujumbe wenyewe.
Hawa wamejaa sana Youtube ,Facebook n.k ndio wanaohama h@ma mitandao kama Nyumbu wakipost post bila weredi.
Hawa ni nyumbu wa kidijital .com
 
Mama ashituke Sasa maana Dunia ikimgeuka atakimbilia wapi huyo Abdul hata kuwa salama inasikitisha!!
 
Ila ikiwezekana utupasie na hapa.
 
Itengenezwe documentary moja kali iende Aljazeera, BBC, CNN , NetFlix , Amazon Prime n.k
Tena inabidi itengenezwe inayohusu masuala ya Ufisadi ili Dunia ione wanavyofisadi hela za Watanganyika na kuzitumia kwa starehe zao binafsi ikiwemo kujinunuliq magari ya kifahari.
 
Ndugu watanzania hizi ni hatua nzuri.

Ila tusijisahau jukumu la kuimkomboa hii nchi ni la sisi wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…