BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

Mabeberu bwanaaaaaaa? Anyway endelea kuruka ruka kama bisi kwenye sufuria lkn kwa ukali wa moto bisi lazima ziive!
 
Aliyeandika si ni mpumbavu
Yaani aina ya watu kama hawa walioleta hii mada hawana shughuli za kujiingizia kipato za kujishughulisha nazo. Pili ni watu wanaojisikia hawana thamni duniani. Yaani wana low self worth. Sasa kutengeneza story kama hii yenye udanganyifu na kuona watu waki reply ndio kwake naye anajisikia ahh kumbe na yeye yumo. Inampa ka nafuu lakini deepdown anajisikia worthless
 
Kikosi kazi cha CCM inabidi kifanyiwe overhaul,nao waweke watu ambao wako vizuri upstairs.Akina Mwijaku,Steve Nyerere na wengine,wawe nì local,halafu watafute wale ambao ni international.
 
Mleta mada bora umeliona hilo, kwa kweli haya mambo ni fedhea kwa taifa letu pendwa. Yanatupaka matope. Natamani haya mambo ya watu kukosa uhuru wa kujieleza yafike ukomo wake.

Nchi yetu ifunguke iwe huru, Bila kuwa huru, hatutopata maendeleo ya kweli kama Taifa. Kwa sasa ushirikishwaji wa raia ni mdogo sana katika mambo ya msingi ya kuleta meandeleo ya kweli kwa kila mmoja wetu. Mungu, atusadie kama Nchi tuweze kujitambua.
 
Kikosi kazi cha CCM inabidi kifanyiwe overhaul,nao waweke watu ambao wako vizuri upstairs.Akina Mwijaku,Steve Nyerere na wengine,wawe nì local,halafu watafute wale ambao ni international.
Ili iweje?
 
Toka maktaba :

Hatari iwazi, watawala wa CCM vitendo na kauli zao kuwapeleka mahakama ya uhalifu dhidi ya binadamu ICC The Hague​

Kama utani vile lakini uthibitisho wa watu kutekwa, kuumizwa, kutupwa na bado Bunge la CCM Dodoma mawaziri na wabunge wake kusisitiza wahanga zaidi wasakwe na kushughulikuwa ni ushahidi tosha siku si nyingi tutaona vigogo wakiwekewa vikwanzo na pia waranti ya INTERPOL kuwatia nguvuni kisha kupelekwa Mahakama ya ICC The Hague ipo njiani.

Hoja za Askofu Josephat Gwajima


View: https://m.youtube.com/watch?v=lIInNAywSIMHoja za Mh. Jesca Jonathani Msambatavangu, mbunge wa Iringa mjini kwa tiketi ya CCM.


Histori ya juzi tu, huko The Philippines viongozi na watawala wa chama dola wameisahau au wameamua kupuuza na kuendeleza udhalimu wao .

TOKA MAKTABA :

11 March 2025
Villamor Airbase, PH

IMETHIBITISHWA SASA NDEGE INAYOMCHUKUA MSHUKIWA DUTERTE IMESHAONDOKA KUELEKEA THE HAGUE UHOLANZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=OgIVlTtNRXk
Rais Marco Junior wa Philippines amethibitisha kuwa rais wa zamani Duterte baada ya kushikiliwa kwa muda na mamlaka ya serikali ya The Philippines ili ijiridhishe kuipitia kwa umakini hati ya Interpol ya kumkamata Duterte kama imekidhi vigezo vyote vya kisheria vya taifa la the Philippines pia vigezo vya kimataifa.

Baada ya kutimiza zoezi hilo la kuipitia hati ya kumkamata ya Interpol kama ziko vizuri, na kuridhika ipo sawa, baadaye mamlaka za The Philippines ikahakikisha inampa haki zote za kiraia rais mstaafu Duterte ya nafasi ya kuonana na mkewe mpendwa pia kuagana na familia kabla ya kupandishwa ndege kwenda ICC Hague ..

Rais Marcos Junior alipohojiwa baada ya kuthibitisha kuwa Duterte ameondoka katika anga la ndege la the Philippines kuwa kupelekwa kwa Duterte hadi Mahakama ya Kimataifa ya The ICC kama ni mbinu ya kisiasa kumuondosha Duterte nchini The Philippines.

Rais Marcos Junior amesema hilo siyo kweli kwamba wamemtosa mpinzani wao Duterte, bali ni sehemu ya kuhakikisha haki inapatikana kupitia mfumo wa haki jinai ya kimataifa kwa pande zote mbili yaani upande wa rais mstaafu Duterte anayeshutumiwa, na upande mwingine wale walalamikaji raia wa the Philippines waliowasilisha malalamiko yao Mahakama ya Kimataifa Dhidi ya Uhalifu ya ICC The Hague Uholanzi
 
ILIKUWA KAMA UVUMI LAKINI DUNIA SASA INAFAHAMU :

Jumuiya ya kimataifa yashangaa watawala wa Tanzania:

Wakili Elisha Ongoya mhadhiri mkuu katika shule ya sheria ya Chuo Kikuu cha Kabarak nchini Kenya akiongea jijini Dar es Salaam


View: https://m.youtube.com/watch?v=Kn4RxNMzRXE
Elisha Ongoya began his legal journey at the University of Nairobi UoN , where he graduated with a Bachelor of Laws (LL.B) and a Master of Laws (LL.M).

Elisha Ongoya furthered his education at the Galilee International Management Institute (GIMI) in Israel, where he studied the Management of Higher Learning.

These experiences laid the foundation for his career in law and academia. He is currently a partner at Ongoya & Wambola Advocates and a senior lecturer at Kabarak University in Nakuru Kenya
 
Mkuu wewe unataka wakosoaji wa serikali waendelee kuuawa hadi lini? Muogope Mungu mkuu.
 
Mkuu wewe unataka wakosoaji wa serikali waendelee kuuawa hadi lini? Muogope Mungu mkuu.
 
Mkuu wewe unataka wakosoaji wa serikali waendelee kuuawa hadi lini? Muogope Mungu mkuu.
 
Sala yetu iwe ZABURI 109 na 35 kwa ajili ya watesi na wote wanaotudharau Watanzania
 
Mkuu wewe unataka wakosoaji wa serikali waendelee kuuawa hadi lini? Muogope Mungu mkuu.
Ndio maana kijana nakushauri usiweke obsession mbele. Obsession ni changamoto ya afya ya akili. Unaongelea jambo bila evidence, unaliweka akilini unalizungusha humo hadi linakuchanganya. Unajipa ru sonona mwenyewe.

Kama unadhani kuna jambo kama unavyosema serikali inafanyia watu hayo maovu, fungueni kesi mahakama za kimataifa za makosa jinai waje wachunguze. Hii unaandika tu vitu huambatishi majina ni nani wanahusika inakusaidia nini. Itakusaidia kama ukiweka evidence yaani majina ya wanaohusika. Kama wao wamevunja sheria basi kawashitakini wachunguzwe

Mpinzani wenu kaishi ubelgiji muda gani, alishindwa kuishtaki serikali huko kimataifa? Yeye kaamua kurudi eti apambane akiwa ndani. Kimemkuta nini sasa!
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…