BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

Mkuu kumbe ndio zenu kuwachukua watu na kuwapoteza ili tusipate ushahidi? Sasa nimeelewa wewe ndio walewale wauaji. Unanizungusha akili na kichwa ili nipotezee muendelee kuua watu kama mbwa ili malengo ya shetani anayewatuma yatimie.
 
Asubuhi RFA na Radio One walikata matangazo ya BBC kwa ajili ya taarifa hii.
Kumbe hata wewe uliona mkuu? Kwanza walianza kukata RFA kisha Radio One wakafuata. Inaonekana walipigiwa simu na akina Abdul wakawaonya waache kuongelea hayo mambo mara moja.
 
Wakati taarifa hiyo ikirushwa na RFA na Radio One, Abdul na genge lake la mauaji walipiga simu wakawatisha matangazo yakakatwa.
 
Mkuu kama huataki kudikiliza na ukisikiliza huelewi, unataka mimj nifanye nini hasa ili unielewe.
 
Mabeberu bwanaaaaaaa? Anyway endelea kuruka ruka kama bisi kwenye sufuria lkn kwa ukali wa moto bisi lazima ziive!
Sasa ndio umeandika nini mkuu au una changamoto ya afya ya akili?
 
Kama vipi njoo uniteke mkuu maana najua hii ndio kazi unayoiweza.
 
Hivi huu utekaji utakoma lini katika nchi hii ya kusadikika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…