Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Kuna watu naona wanasema sijui wazazi walikuwa bandidu kipnd Cha nyuma...acheni utetez wa kifala...mimi hata kama nlikosewa kias Gani na mama siwez kumtenga et kisa ku avenge.. mzaz atabakia mzazi tu...saidien ndugu zenu na wazaz wenu....siku yakikufika hao uliowasaidia wataanza kukukimbia ..ila ndugu uliowatenga ndyo watakuwa msaada kwako...
 
Nachojua huyo Dada ana abudu katika Giza sio pesa tu anatembelea latest cars .

Ukienda Mbezi Kwa zena anakopanga Simba la masimba utamkuta trip hazikauki .

Inshort huyo anayelalamika aachane na hayo mambo ya kulalamika hizi pesa asione watu wanazo

Kuna hidden sacrifices ambazo sio kila MTU anaweza kufanya .
Waafrika bhana..!
Hizo hidden sacrifices wewe umezijuaje wakati zimefichwa!?

Kwa mawazo kama haya akina Elon Musk wataendelea kuchukua rasilimali za bara hili huku wakituletea silaha zilizoboreshwa.
 
Kulea mtoto si kuwekeza kitegauchumi kwamba unawekeza ili baadaye aje akusaidie.

Mzazi unatakiwa kujiwekea mpango wako mwenyewe wa kujikimu na kushamiri bila ya kumtegemea mtoto.

Kwa sababu mtoto anaweza kufariki kabla yako.

Waacheni watoto waishi maisha yao wanavyotaka.

Waswahili walisema "Tenda wema uende zako, usingoje shukurani".

Tatizo watu wanaona kulea mtoto ni kama kuwekeza kwenye biashara, unalea mtoro ili aje kukusaidia baadaye.
Hawawez kuelewa hawa. Umaskin umeathiri sana haswa nchi hii, yan mzaz anakua hopless sabab anajua eti mtoto atamsaidia..rubbish.
 
Nje ya mada....nilipoona Beatrice yuko na joho nikajua anatoa shukurani kwa Mungu kwa kumaliza masomo salama....Sasa anaongelea Mambo ya matunzo ya mama yanahusu nini kwenye ushuhuda?

Beatrice kama utapita hapa ebu kaza mgongo hudumia mama yako kadiri ya uwezo wako Mungu atakuonekania na atakubariki. Hii kutangaza mitandaoni sioni kama ulikuwa na lengo la kujenga ila ndio umetengeneza gape kubwa zaidi.
Kama Martha hahudumii mama yake sio shida yako wewe. Mungu atashughulika naye....ila je ni kweli kuwa Martha ana Mama yake na Beatrice ana mama yake?
 
Lazima tusikie martha anasemaje, hakuna mtu anayejitenga na ndugu zake bila sababu ya msingi.
Ilo ni kweli hata Yusuph ndugu zake walimchukia kwasababu ya ndoto zake kwa hiyo hawa ndugu wakiona unakitu kikubwa ndani yako lazima wakuchukie hautapendwa ndugu yangu hapo kuna shida mtu huwezi kuwachukia ndugu zako bila sababu ila mimi ninavyoona hao ndugu ndo wana shida wala sio Martha ndugu wengi siku izi upendo haupo ni chuki tu, tunachukiana bila sababu
 
Waafrika bhana..!
Hizo hidden sacrifices wewe umezijuaje wakati zimefichwa!?

Kwa mawazo kama haya akina Elon Musk wataendelea kuchukua rasilimali za bara hili huku wakituletea silaha zilizoboreshwa.
Nawe umejuaje kama kuna hidden sacrifices ambazo zimefichwa ?
 
Nachojua huyo Dada ana abudu katika Giza sio pesa tu anatembelea latest cars .

Ukienda Mbezi Kwa zena anakopanga Simba la masimba utamkuta trip hazikauki .

Inshort huyo anayelalamika aachane na hayo mambo ya kulalamika hizi pesa asione watu wanazo

Kuna hidden sacrifices ambazo sio kila MTU anaweza kufanya .
Anaenda kufanya nini?
 
Ni kawaida pesa ya dada haitokagi kirahisi hata kama ni ya muhimu mpaka abembelezwe sana wewe kama una dada mwenye pesa nambie hata 10 tu kukupngezea ni ngoma wakati ana drive.

Kisaidia ndugu Yako wa damu ni muhimu sana ukiwa vizuri kiuchumi au kwa connection wengi hapa mnasema si atafute pesa za dada ngumu mbona ma bro wanatupiga tafu sana
Iyo nakataa ni tabia ya mtu labda pia kama kuna maagano

Sisi wengine tumesomeshwa na dada zetu na wakatupambania mpaka dakika ya mwisho dada yetu mkubwa kila mtu kamsomesha yeye wapili kuzaliwa lakini watoto wanne wote tunao mfwata katusomesha
 
Kuna watu naona wanasema sijui wazazi walikuwa bandidu kipnd Cha nyuma...acheni utetez wa kifala...mimi hata kama nlikosewa kias Gani na mama siwez kumtenga et kisa ku avenge.. mzaz atabakia mzazi tu...saidien ndugu zenu na wazaz wenu....siku yakikufika hao uliowasaidia wataanza kukukimbia ..ila ndugu uliowatenga ndyo watakuwa msaada kwako...
Mtu anagoma kumsaidia mzazi wake kisa alimuacha baba yake au mama yake wakati uhi ujui reason ni ipi huyo mama unae acha msaidia angeamua kukua siku unatoka duniani leo iko kibuli ungepata wapi
 
Huyo -Beatrice Kama anatoa nyimbo anapata Views mil 7 je yeye binafsi hawezi kumuhudumia mama yake ?

Na kuhusu Martha kununulia watu Magari na kuwafungulia biashara je haifai?

Katika sadaka zinazoleta nguvu huwa ni zile unawapa watu kitu kikubwa ambao hawana uhusiano na wewe wowote .

Hivyo Martha katika utohaji yupo sahihi.

Ni vizuri huyo ndugu yake angeangalia anakwama wapi na ajaribu kujiwekeza kimkakati ili afanikiwe.
Ameongeq vingi, lingine ameongea juu ya Dada yake kumtumikia Mungu mwingine!

Ni kama vile Dada ake ameingia kwenye Satanism.
 
Hawawez kuelewa hawa. Umaskin umeathiri sana haswa nchi hii, yan mzaz anakua hopless sabab anajua eti mtoto atamsaidia..rubbish.
Msiwapumbaze vijana wajao kwakuona kwamba sio muhimu kusaidia wazazi wake hio napinga

Tunatofautiana kuna wazazi ambao nguvy zao zote wamemalizia kwa watoto wao kitu walichofanikisha mpaka watoto wamekuwa na maisha yao ni kujenga nyumba moja ya kujihifadhi unataka kusema mzazi kama huyu hapaswi kusaidiwa?

Pia kuna wazazi ambao wao wapo welfare hawaitaji msaada kutoka kwa mtoto sana kutonakana na mapato yake na kujiwekeza na fursa alizozitengeza na zingine alipewa akazitumia vzr ndizo zinambeba mpaka uzeeni huyu ata asipoona hela ya mtoto hawezi laumu

Ila nachojua mzazi anafarijika na kujivunia mtoto anapokuwa ame mletea zawadi mzazi wake nae anasema yes this is my son nje ya hapo mtoto kutomsaidia mzazi wake ni ubinafsi na kukosa roho ya shukrani
 
Ameongeq vingi, lingine ameongea juu ya Dada yake kumtumikia Mungu mwingine!

Ni kama vile Dada ake ameingia kwenye Satanism.
Yule mdogo wake alichoongea kipo sahihi some how alichokosea ni kuweka hadharani angetumia busara kutafuta wazee wakanisa na wakongea na dada yake
 
Back
Top Bottom