mountain climber
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 311
- 461
Kuna watu naona wanasema sijui wazazi walikuwa bandidu kipnd Cha nyuma...acheni utetez wa kifala...mimi hata kama nlikosewa kias Gani na mama siwez kumtenga et kisa ku avenge.. mzaz atabakia mzazi tu...saidien ndugu zenu na wazaz wenu....siku yakikufika hao uliowasaidia wataanza kukukimbia ..ila ndugu uliowatenga ndyo watakuwa msaada kwako...