Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Beatrice Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake kwamba ana fedha nyingi lakini hamsaidii mama yake

Nyimbo za Martha mwaipaja huwa zinanibariki sana, lakini Kwa maelezo ya mdogo wake nimesikitika sana inaonyesha wokovu wa Martha unatia shaka, kumtelekeza mamake na anapesa huenda ana roho za kigeni yaani mapepo.
We nae tumia akili
Unavyomuona huyo beatrice ana akili??? Kwa alozungumza tu
 
Kuna kauli inaniachaga hoi "Kila Mtoto anakuja na sahani yake"

Sasa Martha kaja na bakuli la plastiki
 
Shida ndugu huwa tunajipa haki sana ya msaada kutoka kwa ndugu wa damu waliofanikiwa na tunachukia wakisaidia wengine huku tunajisahau kuwa karibu na hao ndugu waliofanikiwa (namaanisha hata kama ni ndugu yake mfanye kuwa rafiki na kujiweka katika position ya kusaidiwa endapo utaonekana unahitaji msaada na sio tu Kujipa haki tu ya ndugu)
Halafu mtu kusaidia ni maamuzi yake na sio lazima.. watu waache kupigia hesabu pesa za mifukoni mwa watu
 
Si wamechangia baba tu bite alee mama yake mambo ya martha hayamuhusu
Kumbe hata sio mama yake wa kumzaa anayezungumziwa kutelekezwa! Mbona huyo mdogo wake alikuwa analia kilio kikubwa hivyo!🤣
 
Halafu mtu kusaidia ni maamuzi yake na sio lazima.. watu waache kupigia hesabu pesa za mifukoni mwa watu
Acha tu niliwahi kuwa na ndugu yangu wa kuzaliwa kabisa mambo yake hayakuwa mazuri na unaumia kweli kuhusu hali yake na unatafuta namna ya kumsaidia lakini unakuta ana mambo mengi na hana clear vision ya nini anachofanya.....wananzengo wengine na ndugu wa kumulika na tochi kama wanalaumu kwa kushangaa kwanini hatumsaidii wakati mtu kila siku mnamwombea mafanikio ila mwenyewe yupo yupo mnaongea vizuri unashangaa anapotea anarudi baada ya mwezi
 
Nimeshangaa sana watu humu wanampika Beatrice na kumwambia aache kulilia pesa za dada yake wakati Beatrice analia dada yake anauwezo mkubwa ila hamsaidii mama yake mzazi.

Kama Beatrice anasema ukweli (sidhani kama anaweza kudanganya katika hili) basi Martha ana tatizo au kuna tatizo sehemu.
Angelia mama yake mwenyewe ingeleta maana na sio Beatrice. Yeye Beatrice anashindwa nini kubeba jukumu la kumhudumia mama yake? Beatrice ni mtu mpumbavu mwenye wivu ambaye hafai kwenye jamii ya wastaarabu. Hana tofauti na Tundu Lissu.
 
Acha tu niliwahi kuwa na ndugu yangu wa kuzaliwa kabisa mambo yake hayakuwa mazuri na unaumia kweli kuhusu hali yake na unatafuta namna ya kumsaidia lakini unakuta ana mambo mengi na hana clear vision ya nini anachofanya.....wananzengo wengine na ndugu wa kumulika na tochi kama wanalaumu kwa kushangaa kwanini hatumsaidii wakati mtu kila siku mnamwombea mafanikio ila mwenyewe yupo yupo mnaongea vizuri unashangaa anapotea anarudi baada ya mwezi
Comment yako imenigusa sana. Pia mimi nina mdogo wangu ambaye hata ukitaka umsaidie inakuwa ngumu sana kwasababu yeye mwenyewe haelewi anataka nini.
 
Labda ana pesa za ndagu.

Kuna pesa zingine zina masharti magumu huruhusiwi kuwasaidia ndugu
Ndio maana mi nshakataa sitaki wala sihitaji pesa za kishetani ni za kipumbavu
Bila shaka unaposema fedha za kishetani unamaanisha fedha za dhulma?
 
Angelia mama yake mwenyewe ingeleta maana na sio Beatrice. Yeye Beatrice anashindwa nini kubeba jukumu la kumhudumia mama yake? Beatrice ni mtu mpumbavu mwenye wivu ambaye hafai kwenye jamii ya wastaarabu. Hana tofauti na Tundu Lissu.
Tundu atakuuweni kwa presha mkuu, mvumilieni tu. Ni mtu mnyoofu na moja kwake ni moja.
 
Wako kaburini wamejilalia zao… narudia sio lazima kusaidia ni hiari. Ukisaidia wa kwako inatosha kwa mwingine muache na maamuzi yake na familia yake. Tupunguze kupangia watu vya kufanya na familia zao
Alafu pia kuna watu/ndugu wanaojipa jukumu la kuhesabu hela za ndugu zao/ wenzao. Huyo anayesema ndugu yake amazon hela hawezi kudhibitisha.
Binafsi niliwahi kukaa jirani na ndugu yangu mmoja, tukiwa ktk mazungumzo aliongea kitu nilichokishangaa sana, alisema lakini wewe Ninaweza, kwa taaluma yako utakuwa unao mshahara waTsh.xxxxxxxx. Figure aliyo itaja ok kuwa ni mara 10 na point kadhaa za mshahara halisi!.
 
Back
Top Bottom