Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoelelewa huwa ni watoto, watu wazima hawalelewi.Watoto wanawajibu wa kuwatunza wazazi wao. Msijizime data msikumbie majukumu, waleeni wazazi wenu vizuri.
Amesema hamsaidii mama Yake ,yeye ajajigusa kuna hoja azingatiwe
We nae tumia akiliNyimbo za Martha mwaipaja huwa zinanibariki sana, lakini Kwa maelezo ya mdogo wake nimesikitika sana inaonyesha wokovu wa Martha unatia shaka, kumtelekeza mamake na anapesa huenda ana roho za kigeni yaani mapepo.
Wako kaburini wamejilalia zao… narudia sio lazima kusaidia ni hiari. Ukisaidia wa kwako inatosha kwa mwingine muache na maamuzi yake na familia yake. Tupunguze kupangia watu vya kufanya na familia zaoNa wewe ni mmoja wao uliotelekeza wazazi wako kwakivuli sio lazima
Halafu mtu kusaidia ni maamuzi yake na sio lazima.. watu waache kupigia hesabu pesa za mifukoni mwa watuShida ndugu huwa tunajipa haki sana ya msaada kutoka kwa ndugu wa damu waliofanikiwa na tunachukia wakisaidia wengine huku tunajisahau kuwa karibu na hao ndugu waliofanikiwa (namaanisha hata kama ni ndugu yake mfanye kuwa rafiki na kujiweka katika position ya kusaidiwa endapo utaonekana unahitaji msaada na sio tu Kujipa haki tu ya ndugu)
Kwahio Beatrice anaingilia familia ya watuHuyo anayedai kuwa ni mtoto wake amesema hao Beatrice na Martha mama zao ni tofauti, Baba ndio mmoja.
Kumbe hata sio mama yake wa kumzaa anayezungumziwa kutelekezwa! Mbona huyo mdogo wake alikuwa analia kilio kikubwa hivyo!🤣Si wamechangia baba tu bite alee mama yake mambo ya martha hayamuhusu
Acha tu niliwahi kuwa na ndugu yangu wa kuzaliwa kabisa mambo yake hayakuwa mazuri na unaumia kweli kuhusu hali yake na unatafuta namna ya kumsaidia lakini unakuta ana mambo mengi na hana clear vision ya nini anachofanya.....wananzengo wengine na ndugu wa kumulika na tochi kama wanalaumu kwa kushangaa kwanini hatumsaidii wakati mtu kila siku mnamwombea mafanikio ila mwenyewe yupo yupo mnaongea vizuri unashangaa anapotea anarudi baada ya mweziHalafu mtu kusaidia ni maamuzi yake na sio lazima.. watu waache kupigia hesabu pesa za mifukoni mwa watu
Angelia mama yake mwenyewe ingeleta maana na sio Beatrice. Yeye Beatrice anashindwa nini kubeba jukumu la kumhudumia mama yake? Beatrice ni mtu mpumbavu mwenye wivu ambaye hafai kwenye jamii ya wastaarabu. Hana tofauti na Tundu Lissu.Nimeshangaa sana watu humu wanampika Beatrice na kumwambia aache kulilia pesa za dada yake wakati Beatrice analia dada yake anauwezo mkubwa ila hamsaidii mama yake mzazi.
Kama Beatrice anasema ukweli (sidhani kama anaweza kudanganya katika hili) basi Martha ana tatizo au kuna tatizo sehemu.
Comment yako imenigusa sana. Pia mimi nina mdogo wangu ambaye hata ukitaka umsaidie inakuwa ngumu sana kwasababu yeye mwenyewe haelewi anataka nini.Acha tu niliwahi kuwa na ndugu yangu wa kuzaliwa kabisa mambo yake hayakuwa mazuri na unaumia kweli kuhusu hali yake na unatafuta namna ya kumsaidia lakini unakuta ana mambo mengi na hana clear vision ya nini anachofanya.....wananzengo wengine na ndugu wa kumulika na tochi kama wanalaumu kwa kushangaa kwanini hatumsaidii wakati mtu kila siku mnamwombea mafanikio ila mwenyewe yupo yupo mnaongea vizuri unashangaa anapotea anarudi baada ya mwezi
Bila shaka unaposema fedha za kishetani unamaanisha fedha za dhulma?Labda ana pesa za ndagu.
Kuna pesa zingine zina masharti magumu huruhusiwi kuwasaidia ndugu
Ndio maana mi nshakataa sitaki wala sihitaji pesa za kishetani ni za kipumbavu
Sit ya utajiri halali ni clear goal na good management. Mengine ni dhana tu na utapeli.Huwezi kujua kila mtu ana siri ya utajiri wake
Unaweza kuta huyo mama mwenyewe ndo tatizo.Ndio ushindwe kumsaidia mama yako kisa wadogo zako wana mdomo?
Angelia mama yake mwenyewe ingeleta maana na sio Beatrice. Yeye Beatrice anashindwa nini kubeba jukumu la kumhudumia mama yake? Beatrice ni mtu mpumbavu mwenye wivu ambaye hafai kwenye jamii ya wastaarabu. Hana tofauti na Tundu Lissu.
Alafu pia kuna watu/ndugu wanaojipa jukumu la kuhesabu hela za ndugu zao/ wenzao. Huyo anayesema ndugu yake amazon hela hawezi kudhibitisha.Wako kaburini wamejilalia zao… narudia sio lazima kusaidia ni hiari. Ukisaidia wa kwako inatosha kwa mwingine muache na maamuzi yake na familia yake. Tupunguze kupangia watu vya kufanya na familia zao