Vikao vinaendelea
Nataka kujua
Tumia akili nyuma ya iran yuoo mrussi1. Joe Biden ametimba Camp David kinafiki kwa mapumziko ya Christmas; masikitiko yake kulikoni Iran hajichanganyi Gaza?
2. Kwenye simu yake na Natenyahu kabla ya kuelekea mapumzikoni, amempa Natenyahu baraka zote: "kazi iendelee, Mungu si Athumani."
3. Kwake yeye, kila shambulizi dhidi ya Israeli mtuhumiwa awe Iran, mwenye tuhuma yeye; alipo subira yavuta kheri:
View attachment 2851314
View attachment 2851315
View attachment 2851316
4. Wenye kuyafanya mashambulizi wanathibitisha, ila mwenye lake jambo sasa:
View attachment 2851317
View attachment 2851320
5. Pole yao wapalestina, mchawi marekani; Israel kama paka huyo katumwa tu, wao ni mbagusilo, mlengwa ni Iran.
6. Wanafiki wameamua kufunika kombe mwanao kharamu apite.
7. #6 Hapo, yaani kila mtu na apambane na hali yake.
8. Ila ukweli mchungu:
View attachment 2851323
Tumia akili nyuma ya iran yuoo mrussi
Sasa usicho kielewa ni kitu gani hapo au ndo mmezaliwa kuwa wabishi?Halafu leo hii hao hao hamas waliotengenezwa na Israel wanakujavamia Israel kuua na kuteka raia kisha kuanza kuwaua askali wa Israel walioingia gaza [emoji848][emoji848]
Bonge moja la movie [emoji1][emoji1][emoji1]
Uko Russia ali tia mkono ? Russia alivyo tia mkono Syria kuna mbwa yoyote alie furukuta ? Russia alivyo tia mkono Venezuela kuna West yoyote alie endelea kupiga kelele, tena Venezuela alituma bomber moja tu Tupolev Tu-160..west wote waka muteMrusi hayupo nyuma ya Iran peke yake, yaliwakuta Iraq, Libya, Syria na wengi pia.
Uko Russia ali tia mkono ? Russia alivyo tia mkono Syria kuna mbwa yoyote alie furukuta ? Russia alivyo tia mkono Venezuela kuna West yoyote alie endelea kupiga kelele, tena Venezuela alituma bomber moja tu Tupolev Tu-160..west wote waka mute
Ni mtu mjinga tu anayefikiri ugaidi unazalishwa na uislamu.wenye akili wanajua ugaidi unatengenezwa na Marekani ili kuleta instability.ili kutawala vizuri maeneo mbalimbali kwa sababu watu wakiwa wamoja ni vigumu kuwatawala.Mfano ukifuatilia vizuri hata osama alikuwa assert ya CIA.Hii dunia haiwezi kutulia as long mtaendelea kuzalisha magaidi
Siku ukijua nini maana ya iran kujitoa kumpatia russia drone ....maana yake nini ? Utskuwa umeanza kuwa na akili ...iran mjanja sana kutengeneza bond na urussi wakati wa shida wa urussi. Anajua naye akiwa kwenye shida na wahuni wa nato urussi itamfanyia mema piaMrusi hayupo nyuma ya Iran peke yake, yaliwakuta Iraq, Libya, Syria na wengi pia.
Mnafurahisha sana watu msio na clue za siasa za west na serikali ya USA. Kama ungekuwa na akili za kuepuka west medias zilizobased on propaganda na kuchukua taarifa kutoka kwenye vyanzo makini ikiwemo raia wenyewe.
Ungegundua kwamba wananchi wa USA ni watu kama wewe wanaofanya kazi kwa nguvu na kula kwa jasho na tax juu. Kwa sasa asillimia kubwa ya wananchi wanapinga nchi yao kushuhulika na matatizo na vita zisizowahusu. Yale mabilioni ya aids yanawakandamiza vya kutosha na wanaumia kuona kodi zao zinatumika kushughulika na na mambo ya wengine badala ya nchi yao. It's not all heaven in the west kama mnavyodhani na sio kila mzungu ni tajiri. This is a pathetic piece of a cheap of propaganda. Wenyewe wanasema "Play stupid games, win stupid prizes. Don't start a war you can't finish and everyone should deal with their own problems."
Alafu cha mwisho karibu nchi nzima ya Marekani inampuuza Biden. Wanamuita sleepy joe for a reason. Kama unadhani Biden ni mtu wa maana mwenye akili basi akili zako zinatia mashaka. Biden sio beberu, he's a fukking sheep.
Dunia haiwezi kua na amani maadam United Shits Of Americant ipo na israhell ipoHii dunia haiwezi kutulia as long mtaendelea kuzalisha magaidi
Dunia haiwezi kua na amani maadam United Shits Of Americant ipo na israhell ipo
Hayo mapuuzi mawili hapo juu ndio tatizo la amani ya dunia wakishirikiana na shoga zao EU NATO na G7
Kuua mazayuni yaliopo israhell ni halali kama uwezo unao!!!Ilianzishwa na imani yao ya kuua kama chanzo cha kutafuta suluhu (jihads).
Siku ukijua nini maana ya iran kujitoa kumpatia russia drone ....maana yake nini ? Utskuwa umeanza kuwa na akili ...iran mjanja sana kutengeneza bond na urussi wakati wa shida wa urussi. Anajua naye akiwa kwenye shida na wahuni wa nato urussi itamfanyia mema pia
Na kinachoendelea kuwauma zaidi ni kwamba wanaona iran anaenda kutengeneza ama kashatengeneza mfupa mwengine mgumu pale mashariki ya kati yemenKinachowauma wamerekani na israle na kuwaongezea uoga ni kuwa irani imeeekewa vikwazo kila kona na umoja wa ulay ili kumdhoofisha kama walivyofanya kwa sadam lakin jamaa ndo anaimarika kijeshi kila siku , huu na kwa sasa nadhani wameishiwa vikwazo la bda waanzishe vita ambayo itagharim uchumi wa dunia nzima
Heheeee umenikumbusha ile TU iliotia team kuleUko Russia ali tia mkono ? Russia alivyo tia mkono Syria kuna mbwa yoyote alie furukuta ? Russia alivyo tia mkono Venezuela kuna West yoyote alie endelea kupiga kelele, tena Venezuela alituma bomber moja tu Tupolev Tu-160..west wote waka mute
Zaidi ya sanaaaKwa hakika bila ya dunia kujipanga kukabiliana na wawili hao "head on" Bado tupo tupo sana.
Ulishaziona ngapi mkuu zikiliwa na mchwa?Siku yake roho ikiondoka tutamuangalia live anaenda kuliwa na mchwa. Hakuna atakaemsaidia.
Ulishaziona ngapi mkuu zikiliwa na mchwa?