Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

Uchumi ndo unakulekeza haya?

We ni pimbi nini?

Mkulima baada ya kuuza mazao yake kwa bei kubwa anakutana na vifaa vya viwandani kwa beo ileile kubwa na ya juu zaidi?

Mkulima ananufaika na nini kwa upandaji wa mazao yake?

Ni aheri mazao yake yawe juu ili akanunue vifaa vya ujenzi kwa bei ndogo ili kuharakisha maendeleo yake,;

Nimejiridhisha kwamba, watanzania wengi ni wapumbavu sana"

Narudia kusema" kuna watu nchi hii wenye akili mingi saana kama kina JPM haikuwastahili wazaliwe Tanzania,
Jitu linang'ang'ana tu kusema eti waacheni wakulima wanufaike na mazao yao ili hali akitoka kuuza mazao yake kwa bei ya juu anaenda kukutana bidhaa zitokanazo na viwanda bei yake ni juu zaidi
 
Washenzi Sana Hawa,wake Sasa huku kwa wakulima waeleze huo upumbavu wao si wameruhusiwa mikutano,wake wawaambie wakulima eti wanataka vyakula vishuke Bei.

Ujinga huo ambianeni huko huko Mjini,Majitu haya ya Mjini ndio yalikataa kulipa Tozo zikajenge Vituo vya Afya Vijijini kwa sababu yenyewe yana options za hospitali Jirani.
 
Ananufaika na Bei kubwa ya Mazao ,ulitaka auze Bei ndogo afu akuyane na Bei kubwa ya vifaa? Acha upumbavu wako wewe.
 
Jukumu la chakula lipo kwako mwenyew mwananchi,usitegemee serikali inaweza kukusaidia,kumbuka hata wakulima hawakusaidiwa chochote na hii serikali

Cha kufanya,chakula kinaposhuka bei,kusanya tia ndani wakati kama huu wewe ni kujichotea tu

Usiniulize hela za kukusanya chakula utazipata wapi,hilo ni jukumu lako
 
Wala hakuna mkulima mwenye kuweza kusafirisha chakula shida ya Biashara ya chakula imeingiliwa na walanguzi ndio wanao miliki soko na sio mkulima.
Wananunua mali ikiwa shambani haswa mchele
 
Wala hakuna mkulima mwenye kuweza kusafirisha chakula shida ya Biashara ya chakula imeingiliwa na walanguzi ndio wanao miliki soko na sio mkulima.
Wananunua mali ikiwa shambani haswa mchele
Mlanguzi ananunua chakula Bei gani Kijijini? Unajua Bei ya shamba Kijijini Mfano Majimoto Katavi au unaropoka tuu?
 
Khaaaaah khaaa khaaaa ww unahitaji maombi ww si bure.
Endeleeni kupanua miguu na kupaka kucha rangi vyakula vitadondoka toka mawinguni!! Shikeni jembe na nyie mkalime acheni uvivu ndo mje muuze mazao yenu jero jero muone raha ukulima!!

Aliyewadanganya kuna mkulima mpumbavu anayeuza mazao yake aache kuweka hifadhi kwa ajili ya familia yake nani!! Vyakula tumeweka stoo vya kutosha hata miaka mitatu!! Nyie endeleeni kupaka rangi kucha.

Na mwaka tunaingia tena shamba kwa fujo zote!! Mama achilia soko tuuze hata buku kumi kumi na sisi wakulima tufaidike!!
 
Tena hizi Bei bado hazimlipi mkulima zinatakiwa ziwe Kama za Nchi Jirani hapo ili watie akili Hawa wapuuzi
 
Nilikuwa nasubiri comment ya aina hii.

Wewe ndiye umeelezea Hali halisi ya maisha anayopitia mkulima na mtanzania kwa ujumla.

Mkulima wa nchi hii hanufaiki chochote na Bei ya chakula iliyo sokoni Sasa hivi,na siyo kwamba sisiem hawajui. Ukienda kule mashambani kipindi Cha mavuno,Bei ya maharage kwa mkulima inakuwa chini analanguliwa mno na dalali,na mbaya zaidi mnunuzi anajaza kangomba gunia la kilo Mia akienda kupima anatoa kilo 120.

Sisiem wanachukulia matutusa Sana,wanatufanya Kama wote hatuji chochote. Eti "wacha vyakula viwe juu ili mkulima anufaike na Bei ajae mahela mfukoni,ndiyo maendeleo hayo'. Sisiem ndiyo adui wa nchi hii.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
C.c; Lucas mwashambwa
 
Mwanaume maneno mengi sana ya nin na ww🤨
 
Naunga hoja.

Kweli bei ya vyakula iko juu,hii kutokana na mavuno hayakuwa mazuri sababu ya uchache wa mvua kwa mikoa mingi.

Kwa iyo imepelekea kuwa na uzalishaji mdogo Wa vyakula na kushindwa kukidhi mahitaji ya watanzania.

Pia kupanda bei kwa pembejeo za kilimo na kufanya wakulima wengi kushindwa kuzimudu na kupelekea kupunguza eka za kulima.

Sababu nyingine iliyo sababisha ni nchi jiran kuwa na mahitaji makubwa ya vyakula na kuja tz kununua kwa bei yyte anayotaka mkulima.

Sasa basi wizara husika inatakiwa itoe majibu kwa wananchi,ambapo serikali ilisema kuwa ina vyakula vya kutosha kwenye maghala ya taifa,labda tusubiri tamko la wazir.

Ili taifa(nchi) iwe na stable economy lazima ku control inflation,ili maisha yawe mepesi kwa raia na ku save money for future use.

Tuache ushabiki eti vyakula vipande mkulima afaidike hii sidhani kama ni kwel,mkulima mdogo hana faida na hii bei coz itamvuta na kuuza mazao yote mwisho wa siku yy tena anaanza kuhangaika.

Ata ukiuza iyo hela kwako ni madafu tu kutokana na kwamba hiyo hela haina thamani kwa manunuzi mengine kama mabati,cement n.k.

Uchumi wa nchi hujengwa na individual economy,endapo mtu mmoja mmoja anakipato kizuri huo ndo uchumi wa nchi,ambao ndo walipa kodi.

Kwa iyo huu mfumuko wa bei inawanufaisha watu wachache,the majority kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…