Oroka msoro
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 569
- 435
Kaandika uhalisia, TZ tuna ardhi kubwa mno Tena Ina rutuba ya kutosha kuzalisha mazao ya Kila aina, Kwa kifupi tuna uwezo wa kuzalisha chakula Cha kulisha Afrika nzima.Umeandika kama mtu asiye na elimu.
Tatizo letu ni uzembe na uvivu tuambiane tu ukweli ndugu zangu, haiwezekani tunapata soko la nje badala tuchangamkie fursa tunabaki kulialia eti tufunge mipaka serious?
Angalia nchi zilizotuzunguka DRC Burundi Rwanda Kenya Yaani tulipaswa kufanya biashara ya chakula mpaka Somalia Sudani kusini n.k
Badala yake tunalialia tu na kuilalamikia serikali kweli?
Kwa ujinga ujinga huu hii nchi kusonga mbele tutasubiri sana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app