Nilikuwa nasubiri comment ya aina hii.
Wewe ndiye umeelezea Hali halisi ya maisha anayopitia mkulima na mtanzania kwa ujumla.
Mkulima wa nchi hii hanufaiki chochote na Bei ya chakula iliyo sokoni Sasa hivi,na siyo kwamba sisiem hawajui. Ukienda kule mashambani kipindi Cha mavuno,Bei ya maharage kwa mkulima inakuwa chini analanguliwa mno na dalali,na mbaya zaidi mnunuzi anajaza kangomba gunia la kilo Mia akienda kupima anatoa kilo 120.
Sisiem wanachukulia matutusa Sana,wanatufanya Kama wote hatuji chochote. Eti "wacha vyakula viwe juu ili mkulima anufaike na Bei ajae mahela mfukoni,ndiyo maendeleo hayo'. Sisiem ndiyo adui wa nchi hii.
Sent from my CPH1923 using
JamiiForums mobile app