Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

Anaeuza Michele 4000 sokoni ni MKULIMA?

Dalali aliyeleta Michele Dar na MKULIMA ni mtu mmoja?

Madalali wa CCM wanafanya KAZI Yao ya kutumia JEMBE kuchimbia mashimo na NYUNDO kuwamaliza wananchi.
 
Wakulima tupo bega kwa bega na mama yetu mpendwa mama Samia kwa kutufuta machozi na kutulipa jasho letu,tutamlipa kwa kumpigia kura kwa kishindooo
Lumumba Kuna shamba hapo?

Utapeli na udalali ndo KAZI yenu kuu!!
 
Wakulima halisi hivi sasa wanarudi kununua chakula Kwa madalali waliowauzia Kwa Bei ya kutupa😠😠
 
Umewahi Iona wapi mikono yangu, hujuwi kuwa mikono yangu imekauka Kama mbao kwa sababu ya jembe, anayeona Bei za vyakula zipo juu aende shambani Naye akalime
Mikono Yako ni LAINI ndugu Lucas.

Hayupo MKULIMA mwenye stock ya mazao ya mwaka Jana,

MKULIMA saiz anatafuta mbegu za kupanda mazao yake.

Hakuna MKULIMA anayeuza chakula January hii.

KOMA kuwaongelea wakulima mtu usiyejua hata Bei ya mpini wa jembe!!!
 
Wakulima halisi hivi sasa wanarudi kununua chakula Kwa madalali waliowauzia Kwa Bei ya kutupa[emoji34][emoji34]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aliuza mchele elfu 1200 kilo sasa leo anaenda kununua kwa 3500...! Aisee kenya watuuzie mahindi tuliowauzia bhasii maana nchi imejaa viongozi vilazaa wanaoona ya leoo tuu. Unaruhusu biashara huru kwa wakulima wapate faida ndogo kesho nchi inaingia kwenye njaa unasema una akilii kweli kama sio tahiraaa.
 
Ulitaka ununue unga kilo moja 1000 siku zote? Unajua heka heka za kukimbiza ngedere shamban wew? Bei ya mbolea unaijua?
 
Hizo bei hazisaidii mkulima maana akishauza nakutoa ghalama za uzalishaji mpaka nauli ya kufika sokoni anarudi bilabila.
Ndio maana tukasema kila mtu ashinde mechi zake. ! Hakuna kupangiana wapi niuze mazao yangu !!
 
Napenda kila mtu ajuwe Kiongozi ni mwanadam kama sisi ila sote hatuwezi kuwa viongoz nilazima mtu mmoja asimame kwa niaba ya wengine kwa mataifa ya Dunia ya kwanza nafasi nyeti za kitaifa kuzipata unapita ktk moto na mara nyingi Huwa ni elite people wanapata hizo nafasi.
Kama mkuu wa mkoa yuko na v8 ya mil 500 unategemea nini. Acha waendelee kusifu na kuabudu.
 
Anaeuza Michele 4000 sokoni ni MKULIMA?

Dalali aliyeleta Michele Dar na MKULIMA ni mtu mmoja?

Madalali wa CCM wanafanya KAZI Yao ya kutumia JEMBE kuchimbia mashimo na NYUNDO kuwamaliza wananchi.
Boss tunaomba wewe uwe unafata mazao huko Kwa wakulima halafu uwe unatuuzia elfmoja moja mbona rahisi Sana, tatizo si ni madalali kumbe.
 
Wapumbavu wanaishi Dar es Salaam na mijini wanataka wanunue unga kilo Tsh 1,000 milele. Hawajui mkulima anavyohangaika kufyeka pori...
Unajua nini kila kitu kuanzia pembejeo,mbegu na uandaaji wa mashamba imekuwa ghali Sana siku hizi.ili mkulima afaidike na kilimo inatakiwa bei ya mbegu, bei za pembejeo, bei Za matrekta zipunguzwe. kuongeza bei ya vyakula wakati bei za vitu vinavyowasaidia kuzalisha vyakula vipo juu mkulima hawezi kupata faida.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Wakulima halisi hivi sasa wanarudi kununua chakula Kwa madalali waliowauzia Kwa Bei ya kutupa😠😠
Kwa hiyo wakulima wanatoka tena mbeya kuja Huku dar Kwa madalali kununua mchele elf4 mbona maajabu haya?
 
Back
Top Bottom