Bei ya chakula ipo juu halafu mtu anasema Mama anaupiga mwingi

kuupinga mwingi unajua maana yake, mchezaji akilenga goli ili afunge lakini akiupiga mwingi mpira unatoka
 
Tulia dawa iwangie.. ukiona changamoto ujue kuna fursa katikati ingia upambane.. acha malalamiko
 
kuupinga mwingi unajua maana yake, mchezaji akilenga goli ili afunge lakini akiupiga mwingi mpira unatoka

Wewe ndio unajua ukweli. Na muasisi wa msemo huu alikuwa na maana hiyo uliyosema. Nashangaa watu wanamaanisha tofauti.
 
Wewe lazima ni LBGT!

Unalishwa na kutobolewa!
Unaishi kwa kutobolewa!

Hao wakulima wanaofaidika ni wa kijiji gani?

Na hao wanaolia njaa na kushindia mlo mmoja ni wapi?

Wewe ni Shwine....
Ukute na wewe ni baba/mama na una familia[emoji44][emoji44]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kusoma unajua ila kuelewa ndio tatizo ulilonalo"

Nyie ndo vilaza na wafoji vyeti;

Kiongozi mwenye nua ya kuwainua wakulima, atahakikisha mazao yao yanakuwa juu' ila bidhaa zitokanazo na viwanda viwe chini,, umeelewa we Bwege?
Sijawahi kua cheti feki, Wala sijawahi na Sina mpango wa kuajiriwa serikalini (kuzungushia umaskini uzio) halafu jitahidi kutumia busara japo najua huna busara

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama hali ni mbaya kwako unafkiri ni mbaya Kwa Kila mtu? Ingekua ukienda sokoni hamna vyakula mngeeleweka ila nenda sokoni vyakula tele, tafuta hela acha kulialia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
zito anasemaga "UZWAZWA", wale maZWAZWA yanasema unaupiga sijui nini
 
TumainEl nimekusomq sana siku nyingi lakini huwa unaishia kuongelea hewani hautui wala kushauri.

Mimi nahitimisha kwa kusema kuwa haya yote ni matokeo ya uyekelezaji wa sera za CCM zinazoliumiza Taifa.

Dawa ni kuipiga chini CCM
 
Sasa kama hali ni mbaya kwako unafkiri ni mbaya Kwa Kila mtu? Ingekua ukienda sokoni hamna vyakula mngeeleweka ila nenda sokoni vyakula tele, tafuta hela acha kulialia

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ka fala! Kwahiyo unataka mimi niongee kwa niaba ya asilimia ya wanaoweza kumudu chakula? Na wasio na uwezo wa bei hizi za chakula nani atawasemea?

Kuwa na vyakula sokoni ndo kipimo cha maisha bora kwa watanzania? Na unajiita mtu mzima kabisa unasimama wima!

Nyie ndo wanafki!

Na hilo lineno lenu la tafuta hela utasema wakiitwa wenye hela utanusa hata kunusa
 
Watajwa wote hapo hawana huruma na watanzani kuanzia yule msomali anafungulia mipaka had kwa mwenye wizara ya feza Ni wapuuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna kipindi Kama hiki hiki around 2008 HV Bei ya unga ilipaa maradufu na Bei ya sado ya mahind maza aliuza 5000

Acha kbsaa huu mfymuko serekali iingilie Kati na itujali wananchi wake na pia kuwapa wakulima ruzuku ya pembejee kwani ndivyo ulaya inawafanya wakulima wake kwa kuwa inajulikana kote ulimwenguni kuwa kilimo hakilipi kihvyo ,hvyo serekali inapaswa kuwapa wakulima ruzuku

Reference Netherlands agriculture system

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka ununue unga kilo moja 1000 siku zote? Unajua heka heka za kukimbiza ngedere shamban wew? Bei ya mbolea unaijua?
Na huyo huyo unaemtetea ndie anateseka na njaa kwa sasa!
 
Acha roho ya korosho ni wakati wa sisi wakulima kunufaika na ongezeko la bei kwa bidhaa za mazao. Hakuna kukopwa kama huko nyuma malipo ni taslimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…