Bei ya hizi TV inanitia shaka ubora wake ingwa napendaga vitu cheap

Cha ajabu Hisense ni China based company ila ya UK ni bora zaidi
Ya uk ni bora kwasababu zinatengenezwa kwa ajili ya soko la ulaya

Ulaya wanaspecification zao kwa product za kuuzwa kwao, (voltage surge tolerance zao ziko juu mno, sio kama uku kwetu tunaotumia 200v-240v)

ukipeleka tv zako feki zikitestiwa zitabutuka na zitaishia border hata sokoni hazifiki.
 
Nilitaka kujua hiyo alitop tv aliyoitumia tangu 2015 aliitoa wapi wkt hiyo brand imeingia sokoni 2020 kwa product zote
nilinunu TV 32inch 2 na pasi mbili za SINGSUNG mwaka 2013 mwishoni
Moja nikampa BI MKUBWA moja nikatumia mm
Mm TV niliuzaga miaka miwili mbele nikanunua SAMSUNG 43"
Lakini pasi ninayo mpk leo
Kwa bi mkubwa TV 32inch pasi na deki yake SINGSUNG mpk leo wanatumia ingawa deki hawatumii sana

Huyo jamaa nilomuuziga mwaka juzi mwishoni walimuibia TV ile akanifata anataka TV SINGSUNG kma niliyomuuziaga nikatafuta sana nikakosa mpk nikakata tamaa

Je hii KAMPUNI siku hizi haipo ama
 
Star X ndo TV bora toka Uchinani
 
Pia nilisahau,
shukran sn kunikumbusha,
Hawa singsung vitu vyao orijino sana.

Mwanzon walikuja kama vopy ya samsung, wakafeli sana, baadae wakaboresha mno.

BIDHAA ZA SINGSUNG NI OG mno

Changamotp yao kwny tv,
Hawatoi double screen, wenye familia, watoto,sebule ndogo zenye movement sana ni changamoto sana.

Zinapasuka sana vioo.
 
Hawa singsung walishika jina sana kwenye deki zao, ni orijino,hazibagui cd/flash na zinavumilia mazingira magumu balaa.

Watu wa mikoani huwaambii kitu kuhusu Bidhaa za SINGSUNG, ukiwaletea habar za SAMSUNG wanaona km unataka kuwauzia vitu feki[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…