Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kumbe sio sehemu ya Tanzania? TabularasaMambo mengine ni kutumia akili tuu. Hebu piga picha pale bigbon kariakoo halafu tupigie na kule ngara tujaribu kulinganisha. Huko sirari si mpakani na Kenya huko
Hio sio sababu sababu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania iliyopewa mamlaka kikatiba kujiamulia na inajiendesha yenyewe mambo yasiyo ya muungano mfano...
Tanganyika haina Raisi. Aliyopo ni wa muungano.Zanzibar wana Rais mwenye akili na anajua kuzitumia.
Kuwa kiongozi sio kutumia pesa nyingi kucheza movie na kuendeshwa kwa v8, maana halisi ya uongozi ni kuzitambua changamoto zinazokuja, na zilizopo, kuzishughulikia mapema kwa ajili ya unafuu ya wale waliokupa dhamana ya kuwaongoza...
Kwa kipind hiki cha mpito alete na huku bara.UP. Ni United Petroleum inamilikiwa na S.S. Bakhressa. Unataka hicho kikampuni kinachonunua mafuta reja reja kishindane na giant anaenunua in huge bulk?
Kwa hiyo unatuambia kuwa JWTZ na Polisi ni wa bara tu kwa hiyo Zanzibar hawachangii gharama zao? Halafu baada ya kusema hivi unawabeza wenzako kwa kukosa elimu!Hio sio sababu sababu ni kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania iliyopewa mamlaka kikatiba kujiamulia na inajiendesha yenyewe mambo yasiyo ya muungano mfano Kodi na Mengineyo mengi usitegemee Zanzibar kufanana na bara sababu kuna mambo Rais wa Jamhuri ya muungano hana mamlaka nayo
Mfano JWTZ na Polisi wanatii amri ya Rais wa Jamhuri ya Tanzania sasa ulitegemea wao kodi zao kugharamia JWTZ na Police wetu?
Kuwalaumu Zanzibar wakati wao wanatumia kodi zao kuendesha serikali yao ni ujuha Zanzibar wana autonomy kitu ambacho Wa Tanzania wengi hawakijui sababu ya elimu ndogo
ila ajira mnataka asilimia 21Tanzania inawahudumia nini?
Bajeti ya serikali ya mapinduzi ya Zanzibar haigharamiwi na TRA wao kama Zanzibar wa Mamlaka yao inayokusanya kodi Zanzibar na hiyo pesa ndio ndio inayotumiwa na SMZ/Zanzibar
Jeshi la wananchi JWTZ nje ya jeshi ni mtu mmoja tu anaetoa Amri nae ni rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania sasa ulitaka Jeshi la rais wa Jamhuri ya Tanzania ligharamiwe na serikali ya Mapinduzi Zanzibar? Hivyo hivyo kwa jeshi la Polisi
Zanzibar wanachukua Oman, Bara tunachukua Marekani...
wamwiduka wanatuambia tunakula padogo tunaonga pakubwa π€£ π€£Zenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Hiyo ndo kasoro kubwa ilio tender katika huo muungano, wengi hawaioni ila ndo kero Nyerere hakuiona kabisakwa mambo yasiyo ya muuangamo, kwa upande wa Tanganyika , inakuaje yanasimamiwa/kuongozwa na Raisi asiye mtanganyika? au Tanganyika sio nchi kamiri?
Eti danga...ila watu, dah..ππππZenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Umeandika kwa ufupk lakin kama umejaza nyama vizuri tuZenji hawana Tozo nyingi...tozo zikishakatwa bara zenji wanamgao wao inform of umeme, madawa e.t.c sawa na wanadanga lao linaitwa Tanganyika.
Yuda iskariot wauza watanzania hawaKama Bango linavyoonyesha huko Zanzibar bei ya mafuta ni tshs 2,600 while Bara ni tshs 3,200. Sasa hapa nashindwa kuelewa kama ni nchi moja kwanini Bara mafuta yawe bei juu zaidi ya Zanzibar?
Uteuzi wa January Makamba na Ridhiwani Kikwete kwenye nafasi walizo nazo,ulinipa mashaka makubwa juu ya usalama wetu wakianza kufanya Yao waliyokuwa wakifanya enzi za utawala wa Baba zao.
Mpaka Sasa wanatoa majibu mepesi sana juu ya suala la mafuta na gharama za maisha kupanda. Hawa mawaziri wanatakiwa waachie ngazi pamoja na waziri wa fedha na uchumi ndo chanzo Cha matatizo yanayowakumba wananchi. Leo hii Kuna wananchi na watoto wa shule wametembea zaidi ya kilometer 10 kwenda kutafuta riziki na hawajui wanarudi je majumbani hizo kilometer. View attachment 2212696View attachment 2212697
Well saidWamiliki wa vituo vya mafuta, kama si waarabu, basi ni wa kutoka visiwani na muislam. Wanaouza mchele, mafuta ya kupikia, ngano na vyakula kwa ujumla na bidhaa mbalimbali, ni hao hao. Dada yao kwa makusudi, anasimama na kutangaza ongezeko la bei, hatsi pasipo na ulazima, na kwa kawaida ya mfumo hovyo wa hii nchi, akitamkacho rais, huwa. Anawafaidisha jamaa zake kwa makusudi bila ya kujali wananchi wengine na hali zao!