Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

Kama huna taarifa za kutosha ni bora ukakaa kimya tu!!kwani zanzibar nzima hiyo bei iko kwenye vituo vya UP, tu?!!mbona hadi pemba kuna vituo vya uchochoroni bado vinauza mafuta kwa bei hiyo?!!
Mbona hukuviweka hivyo vyengine umekiweka kimoja tu cha UP ?
Ilikuwa uweke vituo vya maeneo tofauti vinavyomilikiwa na kampuni tofauti.
 
Wenye nia mbaya wanatumia vita ya ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei kwa kiasi kikubwa zaidi kuzidi ile ambayo ilipaswa kuwa pamoja uwepo wa vita ya ukraine
 
Suluhisho ni muungao uvunjwe ama tuwe na serikali tatu... watanganyika tumekua kama yatima kisa huu muungano wa kipuuzi

Sioni faida ya muungano ukhti. Zanzibar ikijiendesha yenyewe kama yenyewe itakua haraka kiuchumi, na maendeleo kwa wananchi yatakuwepo.
 
kaka mafuta yananunuliwa kwa bei moja kwenye source ya serikali/tiper kisha yanatofautiana bei kutokana na umbali yanaposafirishwa ndani ya Tz.
Endelea kuota hivyo hivyo. Wenzako wanaenda kugida deep sea huko kwenye mimeli mikubwa mikubwa isiyoweza kutia nanga kwenye vibandari vyetu vidogo kama viota vya chozi.
 
Nenda kaoshe hiyo mbususu wewe mwajei, tuondolee ubaguzi hapa.
Kwani nani aliwataka anyway?
Kaeni na kina yakhe wenzenu huko mule mihogo na samaki mkaf*nane mlale.
Bili watanganyika watakulipia we na mumeo.
 
Kulipa madeni ya taifa ni suala la muungano? Kama mapato yao hayahusiani na Jamhuri ya Muungano kwa nini kwenye mikopo wanayokopa nchi kama Tanzania wanapata mgao? Wanairejesha vipi ilihali kodi / mapato hatuingiliani?
 
kaka mafuta yananunuliwa kwa bei moja kwenye source ya serikali/tiper kisha yanatofautiana bei kutokana na umbali yanaposafirishwa ndani ya Tz.

Kwa hiyo mafuta yakishushwa bandari ya Dar, yanakuwa ghali Dar kuliko Zanzibar, kwa sababu Zanzibar ipo karibu na bandari ya Dar kuliko Dar yenyewe sivyo?
 
Asante kwa taarifa, namatamani pia kujua source ya income ya Zanzibar kwa mwaka 2021/2022 inayowawezesha kuendeleza bei nafuu ya mafuta pamoja na hili pigo la Korona lililo adhiri chanzo chao kikuu cha mapato ambacho ni utalii
 
Kuna haja ya kuwa na sheria inayokataza wazanzibari kuwa viongozi huku bara.
Ningekuona una Akili kama ungedai serikali ya Tanganyika. Viongozi bara kwan kuna nchi bara? Chochote cha Tanzania kinakuwa chetu sote, Serikali hamna, sasa mnaliaoia kitu gani?
 
Hizi kauli zilimgharimu yule mbunge wa Nkasi.

Kiukweli Tanganyika tunawalisha Zanzibar kama wake zetu, kila kitu, umeme, mafuta, chakula na kila kitu.

Huu muungano ni wa aina yake.
Mnatoa bure ivyo vitu ata mseme mnatulisha? 😀 vitunguu maji dubai rahisi kuliko apo kwenu. Hebu fanyeni kuzuia bidhaa zenu muone kama tutakufa njaa. Sukari tunaitoa brazil ikifika hapa rahisi kuliko inayotoka mtibwa, saruji inatoka dubai ikifika hapa rahisi kuliko inayotoka hapo Tanga tu.
 
kwa mambo yasiyo ya muuangamo, kwa upande wa Tanganyika , inakuaje yanasimamiwa/kuongozwa na Raisi asiye mtanganyika? au Tanganyika sio nchi kamiri?
We umeona kuna serikali ya tanganyika?
 
Zanzibar mafuta hubadilika bei kila tareh 9 so iyo ni bei ya mwezi ulopita bei mpya itatoka 9/5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…