guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Rejareja?mkuu samahani kama hutojali,hiyo bei imepanda wapi?
Miye nipo Meatu bado sijaliona hilo huku bei ya kilo moja ni 2800 kwa bei ya leo
Me nmechukua supermarket jana kwa 2600Dukani kwa mangi ni 3000 Tshs kwa kilo. Hiyo ni latest kuanzia jana jioni na leo asb
Kwa hali hii tutafunga ndoa kweli ?
Hlafu bado viwanda vya ndani vina sema sukari ya nje idhibitiwe.. Wakati wao kila siku ni kufai production cost ni kubwa na kuhamishia hizo gharama kwa mlaji wa mwisho..Enhe, wanaJF
Sukari huko inasemaje bei?
Hapa Pangani kilo moja ni 3000 Tshs per kg