Neno hilo alipenda kulitumia sana alipokuwa na hasira au kukerekwa na hoja za mtu/watu fulani.Aliyewaita wapinzani malofa ni nani,mbona anatonesha maumivu angetulia alee wajukuu ashatuletea majanga atuache tupambane nayo.
Sasa malofa wataruhusiwa vipi kukaa meza moja kuhesabu kura
Hapana shetani kamwe hawezi kugeuka kuwa malaika bali ana uwezo wa kujifanya kama malaika ili kuhadaa watu. La muhimu hapa ni kwamba tusimpuuze shetani anaposema kweli, tuangalie tu ukweli wake na tumwache na ushetani wake.
Akiwa ana hasira hua anatumia neno gani?Neno hilo alipenda kulitumia sana alipokuwa na hasira au kukerekwa na hoja za mtu/watu fulani.
Sio wapinzani tu bali akiwa Ikulu alishawafukuza viongozi wa UVccm akisema "ondokeni sina muda wa kuongea na malofa hapa".
Ni majuto na kujikosha tu, lakini unabaki kuwa ukweli kwamba tume huru inahitajika sasa na imechelewa sana, na hata kipindi cha uongozi wake ilihitajika pia.Hapana tuangalie ukweli anaousema anausema kwa lengo gani.
Nadhani kuna UPOTOSHAJI wa maksudi, au watu hawaelewi KIMOMBO kilichomo katika kitabu chake MY LIFE, MY PURPOSEKwani chama gani kinahesabu kura kwa sasa na chama gani kinatangaza mshindi?
NEC ni nini?
Alikukuwa ndani ya box. Ukiwa ndani ya box inje huoni. Unapokuwa nje ya box ndipo unaona.
P
Kafika 80yr ndo umri wa kutafakari yote ya dunia ni ubatili, kuukimbiza upepo, yeye ndie aliyewaumiza Sana wapemba wakiwa na comandoo ambae nae Mungu kampiga upofu, kwa kushirikiana na Mahita ndio waliokuwa wakiifurumushia CUF mabomu kila siku
NEC inateuliwa na Mwenyekiti wa CCMKwani chama gani kinahesabu kura kwa sasa na chama gani kinatangaza mshindi?
NEC ni nini?