StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Sidhani kama anajuta.Wengine huwa hatuamini maneno matupu
Ni majuto na kujikosha tu, lakini unabaki kuwa ukweli kwamba tume huru inahitajika sasa na imechelewa sana, na hata kipindi cha uongozi wake ilihitajika pia.