Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Case closedAcheni kukopa. Mikopo ni mateso
Rudisha hela za watu acha kulia lia huku...ulitumwa ?Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja wao. Wanabadilisha namba za NMB Mobile au ya Simbamking. Mwisho wa mwezi wao ndio huenda ATM kudraw pesa zote za wateja wanajaza kwenye mabegi, wateja ndio hufuata pesa zao ofisini kwao. Kwenye akaunti ya mteja wanatoa hela yote siyo kwamba hutoa marejesho. Benki kuu muwaambie wananchi huu utaratibu ni sahihi na upo? Taasisi inachukua kadi za benki za wateja na kubadilisha namba za siri,
ndio iende benki kutoa hela kwenye akaunti za wateja na
wawagawie wateja. Kwanini watanzania wanyanyaswe na kudhalilishwa hivi? Nchi hii haina taratibu kwa mujibu wa sheria?
Halafu unaambiwa mwenye taasisi ni mtumishi wa umma anafanya kazi kule Monduli km siyo jeshini ni mwalimu. Ndio kusema na BOT mnahongwa? Akaunti ya benki ni mali binafsi ya mteja wa benki.
Kwa nini utoe kadi yako ya benki na nywila yako kwa mtu. Mbona yeye hajakupa ya kwake na nywila yake?Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja wao. Wanabadilisha namba za NMB Mobile au ya Simbamking. Mwisho wa mwezi wao ndio huenda ATM kudraw pesa zote za wateja wanajaza kwenye mabegi, wateja ndio hufuata pesa zao ofisini kwao. Kwenye akaunti ya mteja wanatoa hela yote siyo kwamba hutoa marejesho. Benki kuu muwaambie wananchi huu utaratibu ni sahihi na upo? Taasisi inachukua kadi za benki za wateja na kubadilisha namba za siri,
ndio iende benki kutoa hela kwenye akaunti za wateja na
wawagawie wateja. Kwanini watanzania wanyanyaswe na kudhalilishwa hivi? Nchi hii haina taratibu kwa mujibu wa sheria?
Halafu unaambiwa mwenye taasisi ni mtumishi wa umma anafanya kazi kule Monduli km siyo jeshini ni mwalimu. Ndio kusema na BOT mnahongwa? Akaunti ya benki ni mali binafsi ya mteja wa benki.
Tatizo linaanzi kwa mkopaji anaeto kadi yake na kibadili namba ya siri.Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja wao. Wanabadilisha namba za NMB Mobile au ya Simbamking. Mwisho wa mwezi wao ndio huenda ATM kudraw pesa zote za wateja wanajaza kwenye mabegi, wateja ndio hufuata pesa zao ofisini kwao. Kwenye akaunti ya mteja wanatoa hela yote siyo kwamba hutoa marejesho. Benki kuu muwaambie wananchi huu utaratibu ni sahihi na upo? Taasisi inachukua kadi za benki za wateja na kubadilisha namba za siri,
ndio iende benki kutoa hela kwenye akaunti za wateja na
wawagawie wateja. Kwanini watanzania wanyanyaswe na kudhalilishwa hivi? Nchi hii haina taratibu kwa mujibu wa sheria?
Halafu unaambiwa mwenye taasisi ni mtumishi wa umma anafanya kazi kule Monduli km siyo jeshini ni mwalimu. Ndio kusema na BOT mnahongwa? Akaunti ya benki ni mali binafsi ya mteja wa benki.
Ndio mashariti ya kupewa mkopo. Sasa mtu mwenye shida analazimika tu kutoa kadi ya benki na password yake ili apate huo mkono.Kwa nini utoe kadi yako ya benki na nywila yako kwa mtu. Mbona yeye hajakupa ya kwake na nywila yake?
Baada ya hapo ni vita na kudhalilishana.sasa hapo si unabadilisha tu hiyo kadi..unawaacha watoe hela mara mbili tatu kisha ni kuripoti benki kwamba kadi yako imepotea hivyo waifungie so haitofanya transaction zozote hao microfinance watabaki na famba tu.. kisha waombe benki watakupa kadi nyingine mpya..wanashindwa wapi hawo wakopaji.!
Taasisi za fedha zipewe maelekezo zikatoe elimu ya fedha maeneo hayo.Kuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja wao. Wanabadilisha namba za NMB Mobile au ya Simbamking. Mwisho wa mwezi wao ndio huenda ATM kudraw pesa zote za wateja wanajaza kwenye mabegi, wateja ndio hufuata pesa zao ofisini kwao. Kwenye akaunti ya mteja wanatoa hela yote siyo kwamba hutoa marejesho. Benki kuu muwaambie wananchi huu utaratibu ni sahihi na upo? Taasisi inachukua kadi za benki za wateja na kubadilisha namba za siri,
ndio iende benki kutoa hela kwenye akaunti za wateja na
wawagawie wateja. Kwanini watanzania wanyanyaswe na kudhalilishwa hivi? Nchi hii haina taratibu kwa mujibu wa sheria?
Halafu unaambiwa mwenye taasisi ni mtumishi wa umma anafanya kazi kule Monduli km siyo jeshini ni mwalimu. Ndio kusema na BOT mnahongwa? Akaunti ya benki ni mali binafsi ya mteja wa benki.
Benki kuu ni mojawapo ya taasisi mzigo nchi hii, zipo taasisi nyingi za fedha mitaani za kihuni. Dharura anaweza kupata mtu yoyote isiwe fursa ya wajanja walafi kuwaibia watanzania serikali iwalinde raia wakeKuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja wao. Wanabadilisha namba za NMB Mobile au ya Simbamking. Mwisho wa mwezi wao ndio huenda ATM kudraw pesa zote za wateja wanajaza kwenye mabegi, wateja ndio hufuata pesa zao ofisini kwao. Kwenye akaunti ya mteja wanatoa hela yote siyo kwamba hutoa marejesho. Benki kuu muwaambie wananchi huu utaratibu ni sahihi na upo? Taasisi inachukua kadi za benki za wateja na kubadilisha namba za siri,
ndio iende benki kutoa hela kwenye akaunti za wateja na
wawagawie wateja. Kwanini watanzania wanyanyaswe na kudhalilishwa hivi? Nchi hii haina taratibu kwa mujibu wa sheria?
Halafu unaambiwa mwenye taasisi ni mtumishi wa umma anafanya kazi kule Monduli km siyo jeshini ni mwalimu. Ndio kusema na BOT mnahongwa? Akaunti ya benki ni mali binafsi ya mteja wa benki.
Huyo mmiliki akamatwe achunguzwe na hizo kadi zirudishwe kwa wenye kadi. Yaani unamiliki kadi za benki za watu km zako? Unaenda kutoa pesa zake zote kwenye akaunti yake ndio umgawie wakati huo umemnyima access na kadi yake, hiyo ni zaidi ya uhuni ni ujambaziKuna taasisi ipo pale Kilombero jijini Arusha jengo la Summit Centre inaitwa IVOJ inatoa mikopo. Taasisi tajwa ni zaidi ya kausha damu, riba ni kubwa sana, ukichukua Milioni moja unarudisha zaidi ya Milioni moja na laki 8. Mbaya zaidi na kinachodhalilisha wamekusanya kadi za benki za hao wateja wao. Wanabadilisha namba za NMB Mobile au ya Simbamking. Mwisho wa mwezi wao ndio huenda ATM kudraw pesa zote za wateja wanajaza kwenye mabegi, wateja ndio hufuata pesa zao ofisini kwao. Kwenye akaunti ya mteja wanatoa hela yote siyo kwamba hutoa marejesho. Benki kuu muwaambie wananchi huu utaratibu ni sahihi na upo? Taasisi inachukua kadi za benki za wateja na kubadilisha namba za siri,
ndio iende benki kutoa hela kwenye akaunti za wateja na
wawagawie wateja. Kwanini watanzania wanyanyaswe na kudhalilishwa hivi? Nchi hii haina taratibu kwa mujibu wa sheria?
Halafu unaambiwa mwenye taasisi ni mtumishi wa umma anafanya kazi kule Monduli km siyo jeshini ni mwalimu. Ndio kusema na BOT mnahongwa? Akaunti ya benki ni mali binafsi ya mteja wa benki.
Kuna watu wanatoka Longido, Karatu kufuata mishahara yao ofisini kwao na siyo kwamba wanapewa kadi waende wote kutoa hela ni kwamba wanatoa hela yote iliyoingia kwenye akaunti ndiyo wamgawie huyo mteja hawakupi access na kadi yako. Walivyo makatili hela wanatolea kwa mawakala ambapo kuna makato makubwa hawana uchungu na pesa za watu siyo ATM ambamo makato ni nafuu sana. Kwa mfano kutoa 400,000/ ATM makato ni km 1,800/ wakati kwa wakala kutoa laki 4 makato ni zaidi ya elfu 6. Mikopo haikwepeki kwanini watu wanyanyaswe na kudhalilishwa hivi? Serikali isaidie watu wake kwa taratibu kufuatwaBenki kuu ni mojawapo ya taasisi mzigo nchi hii, zipo taasisi nyingi za fedha mitaani za kihuni. Dharura anaweza kupata mtu yoyote isiwe fursa ya wajanja walafi kuwaibia watanzania serikali iwalinde raia wake