Benki Kuu (BoT) Arusha nani anailinda hii taasisi inayoitwa IVOJ inayotoa mikopo maeneo ya Kilombero!

Kuwa maskini na mjinga kwa mara moja ni janga zito. Hao wanaokabidhi ATM cards zao hawana tofauti na wafuasi wa Mwamposa au Zumaridi. Nina uhakika hata nikiwasha moto mkubwa na kuweka kibao USIPITE KWENYE MOTO kuna wajinga watajitokeza na kupita kwenye huo moto. Kimsingi bado nchi ina wajinga wengi mno. Kuna wajinga ambao hawajasoma na kuna wajinga ni Graduates.
 
Acha Kuchafua Biashara za watu kwa matatizo yako binafsi ya KUKOSA nidhamu ya fedha

Baada ya kukusaidia wakati ulipokuwa umebanwa unakuja kuichafua huku baada ya kushindwa marejesho

Kwani wanakufunga kamba uchukue mkopo wao ???
 

Masharti, kanuni na vigezo vya mkopo katika maandishi madogo vinafafanua pia kusomwa kwa sauti, kabla ya mteja kuanguka saini yake na kutia dole gumba ndani ya mkataba wa mkopo kwa mteja aliyekidhi matakwa ya kukopeshwa.
 
1.Kwani lazima kukopa PESA zao?
2.Serikali/BOT kwa nn wasikukopeshe kwa vigezo vyako ww?
3.Dawa ya ni kulipa TU.

KAZI ni kipimo cha utu
 
Microfinance ziko nyingi mno, iletwe sera mpya ya kuzi manage
 
Acha Kuchafua Biashara za watu kwa matatizo yako binafsi ya KUKOSA nidhamu ya fedha

Baada ya kukusaidia wakati ulipokuwa umebanwa unakuja kuichafua huku baada ya kushindwa marejesho

Kwani wanakufunga kamba uchukue mkopo wao ???
Kwani nao wao wanapoomba leseni wanalaximishwa kutii sheria za nchi zinazohusiana na hiyo biashara?
 
Yaani nilichogundua alieandika huu uzi ni mdaiwa na kama unaacha card it means ni mtumishi una mshahara kila mwezi manake una akili timamu unalalamika riba ni kubwa wakati unakopa hukujua riba ni kubwa??? Wakati unakopa si uliambiwa inatakiwa uache card ya bank kwanini ulikubali sasa iv unakuja unalalamika huko,usiwakaumu hao watu mpaka unafikia hatua ya kukopa huko means bank hukopeshek tena,kama sasa iv unalilia huku means ushaona hela inayobak haikutoshi kama card ungekua nayo wewe manake ungekua ushaanza kusumbua kurudisha marejesho..me naona wanawafanyia vzr tu maana watanzania ni wagum kulipa…kingine mbona taasisi ni nyingi na zingine hazina hayo masharti tafuta zingine usisumbue watu kwa madeni yako buana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…