Yes
 
Ila mkuu ujue unakula dhulma hela za wanaume wenzako hizo ungefanya kuwarudishia japo nusu hasara.
HIZO NI HELA ZAKO MWENYEWE UKIANGALIA HAPO NA KUPIGA HESABU HELA YAO HALALI NI SHILINGI 21000 TU YA MWANZO ULIPOANZA KUKOPA MAANA ULIANZA WAKAUAMBIA WANAKUPA 30,00 LAKINI UKAINGIZIWA 21000 WAKATI WA KULIPAUKALIPA 37,000 MPAKA ULIPO FIKIA LAKI INAMAANA HELA ZOTE ZA KWAKO NA YAKWAO WALISHAGA RUDISHA KITAMBOI
 
one pesa siioni??
 
Toa mfano
Unadhani matangazo yanayokuja kwenye kifaa chako kwa sms au kupitia internet jamaa wanakuaga wanapata taarifa wapi ili waku target vizuri.....hizo apps nyingi zilikua zinabeba taarifa binafsi za watu,,,, namba za simu,,, mesej zako,,,hizo taarifa ni muhimu sana kwa makampuni ya matangazo
 
We
Nae Toka 2014 Bado member tu acha uvivu
 
Hayo matangazo nayablock ,simple tu
 
Hayo matangazo nayablock ,simple tu
😀😀si mpaka ukishtuka hasa matangazo ya sms za kawaida,, tena utablock ukiwa na smart ila ukiwa na kiswaswadu utayakoga tu
 
Sababu ni leseni na siyo kusumbua na kuingilia privacy za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…