Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

Taarifa kama hizi zisizo na uhakika zinashusha credibility ya hii forum
.. Nimekuta hiyo habar kwa group ya WhatsApp na watu wakaanza kuijadili Jamii Forums kwamba ni wazushi wa kutupwa ... Hakuna hata aliyeuliza km kuna hata waliouwawa
 
Hawa Wasomali na Waethiopia wanaoingizwa humu nchini kwa njia za panya road ni hatari sn,,

Hawa jamaa wana roho ngumu hawaingopi kitu,, ujasiri huu wa kunyofoa roho za watu wasio na hatia sis Watanganyika hatuna ,, mabalaa haya yanaletwa na hawa watu wenye tamaa ya pesa kwa kuwavusha hawa jamaa, kwao kuua mtu sawa na kuchinja kuku tu.
 
Mpaka MDA huu bado Ni tetesi Siro mbona anapata changamoto hivi asee hivi Paulo Chagonja yupo wapi alipenda ubabe Sana. Hawa majambazi wamepata nguvu wapi
 
ikitokea hali ya namha hiyo kitu ambacho huwa kinafanywa ni kupiga bomu la machoki ndani au bomu lenye kuchosha wote waliomu kwa muda na hapo askari hutumia nafas hiyo kuokoa au kuna watu wa CRT wanaweza wakaingia au kumua jambazi bila yeye kujua..snapers ndo kazi yao hapo sasa..jambazi anackncetrate kuangalia askari huku snaper akiwa anamtafutia target na huwa hakosi
Snipers kwa majengo gani ya kibank? Sniper atakaa wapi?
 
Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
Simple method but very effective wa inject kaput doze ya ya kutosha kisha wawanyake kama wanaokota kumbikumbi
 
Mk
Taarifa kama hizi zisizo na uhakika zinashusha credibility ya hii forum
.. Nimekuta hiyo habar kwa group ya WhatsApp na watu wakaanza kuijadili Jamii Forums kwamba ni wazushi wa kutupwa ... Hakuna hata aliyeuliza km kuna hata waliouwawa
Mkuu hii habari. Ni Kweli, nimetoka kusikiliza sasa hivi EFM
 
Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
duuh kweli kazi tunayo sasa kama mabenki kila siku yanavamiwa
 
Taarifa kama hizi zisizo na uhakika zinashusha credibility ya hii forum
.. Nimekuta hiyo habar kwa group ya WhatsApp na watu wakaanza kuijadili Jamii Forums kwamba ni wazushi wa kutupwa ... Hakuna hata aliyeuliza km kuna hata waliouwawa

Okay
 
Hii tetesi imedumu muda mrefu sana, bado hakuna taarifa kamili?
 
Back
Top Bottom